Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 43,037
- 34,741
Photoshoping hiyo weweHakika miskiti ni ya Mwenyezi Mungu
Mkuu ya kweli haya? Na ilitokea wapi asee hadi naogopa yani majengo yote yamekwenda lakini masijidi pamebaki duh!
Photoshoping hiyo wewe
Sio photoshop hii ilitokea Indonesia ule mwaka wa tsunami
Hata kama ni kweli,,use simpo logic,angalia hayo majengo yaliyozunguka huo msikiti,u can easily see kuwa hayako stable hayana foundation imara,so it is obvious kuwa chances zilikuwa kubwa hilo jengo la msikiti libaki katika hilo eneo. Hii wala haihusiani na Mungu ila tu hilo jengo ndo lilikuwa imara kwenye hilo eneo
Usiwe unaongea tu, fungua hii link
https://docs.google.com/document/d/1s-tgtepPzR0K_urOihTKeuysYo-0_lgMSjCYRdw3LR4/mobilebasic?hl=en
Hivi unahitaji kuwa injinia wa roketi ili utambue kuwa hayo majengo yote yaliyozunguka huo msikiti sio imara?..kwa picha tu yanaonekana,there is no need to imply God's miracle kwenye kitu ambacho sababu zake ziko wazi. Huo msikiti ndio jengo kubwa kwa sehemu hiyo na ndio linaonekana kuwa imara, hivyo vingine ni vibanda tu kana vya kwetu huku uswahilini
Kwanini unashindwa kukubaliana na ukweli ata wa picha? Unabisha ili iweje? Wewe unajuaje kama hivo ni vibanda?
Kwa elimu ya bure tu ni kua hiyo sio mara ya kwanza kutokea dunia sawa Mpendasifa?