Maajabu ya mwanaume niliyenae

Ni kweli kabisa. Dada anatakiwa acheze part yake. Isijekuwa hata hampendi jamaa
Ukute ana mpenda ila si unajua pema ukipema si pema tena. Bina damu huwa wana angalia wasichi nacho halafu wana kitafuta.
Yeye kwa kuwa huwa haambiwo nimekumiss bas ni big deal kwake kwel kwel
 
Wanawake wengi wanashindwa kutofautisha kati ya mapenzi na mahaba.... any way jamaa anakupenda ila tu hana mahaba na wewe...
 
Hehee
Nacheka kama mazuri vile.
Sasa wewe kwa usawa huu wa anko magu matunzo yote unapata unashindwa kumpelekea hiyo papuchi kutwa mara tatu??? We shida ni akuambie amekumiss halafu asitoe matumizi au shida iko wapi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Thats cool!
 
Akili kubwa haiwezi kutawaliwa na akili ndogo. Kwanza umesema upo home tena mwenyewe unasema huyo jamaa anakulipia kodi halafu kila ukihitaji kupigwa mambo anakutumia nauli. Hujui unachosema na kwa haraka wewe hufanyiwi hivyo ila unawaza kwa mfano ikiwa hivyo. Ahahahahaaaa
Unajitamanisha nyau wewe
 
Hizo ndo mbinu za love sasa
 
Hamueleweki ttz lenu, kipi ni kipi. Mkipewa mahitaji bila tendo mnalalama hukufuata kula, hukipewa tendo mbona hunihudumii, Cjui shukrani yenu ipo wapi ktk maisha yenu
Tunataka vyote.
 
Mtu yupo bsy anatafuta hela ya kukuhudumia tena unalalamika! Wanawake nyie neenden mkaishi hk Jupita
Sasa mkuu tukienda jupiter mjue mtatumiss sana!! Umuhimu wa kitu/mtu huonekana pale ki/asipokuwepo
 
Na tukichepuka msilalamike basi na kudai hatujui tukitakacho wakati tunajua ndio maana tunakitafuta.
Nyie ndio hamjui mtakacho kama unataka kitu a mbacho sina so wehu huo?
Ulifata nn sasa kama sina
 
Thank you my dear
 
Nyie ndio hamjui mtakacho kama unataka kitu a mbacho sina so wehu huo?
Ulifata nn sasa kama sina
Sio wehu, nilikuja nikijua nitavipata vyote, kumbe huna vyote, basi ndio ninaamua kutafuta vile usivyonavyo.
 
Ananjia nyingine anayofaidika na wewe sio ngono, ukijakustuka tu anajilipumba.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…