Maajabu ya mwanaume niliyenae

Nikifikiria kumridhisha mwanamke yananijia mawazo ya mzee mmoja tangu niko mtoto naskia anatafta rupia na mpaka leo nazeeka bado mzee anatafta rupia ,nahisi akizipata wanawake nao watakuwa watu wakuridhika
Usikute ni babu yangu unamsema,maana mpaka leo kapewa jina la Nusurupia.
 

Nilikuhisi labda wewe ni dada G...

'Cause story yako inafanana na ya kwake.

Wanaume wa sampuli hiyo wapo sana. Anakuhudumia haswa,ila yale "mahaba"utaishia kuyaona kwenye tamthilia.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...acha nicheke tu
 
Baadhi ya wanaume ndivyo walivyo! Endelea naye tu labda kuna siku atagundua kama anakupenda na kukwambia ukweli, au labda hakupendi anapenda kukugegeda tu. Ila kajitoa kwako kwa kukuhudumia kwa kila kitu, imagine bila huduma yake maisha yako yangekuwaje.

 
Mh! Eti unakazwa kisawasawa!!!?????... Acha mambo yako wewe, mwambie jamaa akupe mtaji ufanye biashara, sasa ngoja libume tuone kama utakula kukazwa.
 
sasa wewe ela unapewa, umepangiwa mahala pa kuishi, unakazwa vizuri sasa ni upendo upi unaoutaka??
 
Hitaji la kwanza la mwanamke katika uhusiano wa kimapenzi si pesa wala vitu
Acheni kumpotosha huyo sista nyie now anafanyiwa kila kitu, anaishi kwa ajili ya huyo jamaa town je yeye kwenye mapenzi yao kazi yake ni nn!? Inatakiwa yeye ndio ambembeleze, she must do her part ukizingatia mchizi ana fanya mengine yote ikiwemo kuhakikisha anamlisha.
 
Ni kweli kabisa. Dada anatakiwa acheze part yake. Isijekuwa hata hampendi jamaa
 
Hawaridhikagi hawa viumbe

usikute kuna makungwi wa instagrama na watsaap group washaanza kumuingiza mkenge..
Asante sana kiongozi, wanawake wengi wameingia kwa hao makungwi wa Facebook na Insta mwisho wanaharibu wenye ndoa zao na mahusiano yao kwa mikono yako wenyewe kisha wanakuja hapa kulia lia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…