Sio kwa wanawake wa sasa wewe mwanamke anapenda pesa hata awe ma ml 50 wewe una laki ukimpa ela anapokea.Upande mwingine wa shilingi ni muhimu tena sana.
Otherwise huyu dada akija kupata kazi nzuri na kujiweza kiuchumi yuko likely kumuacha jamaa.
Hitaji la kwanza la mwanamke katika uhusiano wa kimapenzi si pesa wala vitu
Dada wee,mpetipeti wewe wanatofautiana mpenziHabari zenu wana JamiiForums,
Jamani leo nimekuja na stori inayonihusu, inshort nimemaliza chuo mwaka wa tatu sasa niko home tuu no job, sasa jamani tangu nikutane nae ni 2 years sasa ananihudumia kwa kila kitu mpaka credit jamani.
Kanipangia na analipa kodi na matumizi yote napata ila haniambiagi ananipenda wala kanimiss au kamiss mashamsham yangu hadi nimwambie ninahamu nae ndipo atume nauli ndio niende na ananikaza kisawasawa nikienda.
Sasa nimweleweje kuna upendo apo?
Matumizi yote napata ila hanipeti peti nimweleweje?
Umeonaeeeeeee....wanawake sijui tunatakaga nini
basi wengi tupo hivyo. binafsi sikumbuki lini nimemwambia my wife nakupenda, ukweli ni miaka zaidi ya mitatu au minne, ukiona tunapigiana simu mchana ujue kuna tatizo au tunapeana maelekezo au mrejesho wa shughuli fulani ya kimaendeleo au kifamilia, tunakutana jioniiiii, na tukikutana tunapendana tunajadili maisha fresh, tunalala pamoja kwa kukumbatiana lakini ni zamani sana nimemwambia nakupenda na sioni umuhimu huo, hata yeye anaweza kustuka nikimwambia hivyo atajua either najihami kuna kitu nimefanya au namtega/namkebehi.Habari zenu wana JamiiForums,
Jamani leo nimekuja na stori inayonihusu, inshort nimemaliza chuo mwaka wa tatu sasa niko home tuu no job, sasa jamani tangu nikutane nae ni 2 years sasa ananihudumia kwa kila kitu mpaka credit jamani.
Kanipangia na analipa kodi na matumizi yote napata ila haniambiagi ananipenda wala kanimiss au kamiss mashamsham yangu hadi nimwambie ninahamu nae ndipo atume nauli ndio niende na ananikaza kisawasawa nikienda.
Sasa nimweleweje kuna upendo apo?
Matumizi yote napata ila hanipeti peti nimweleweje?
Keel tenaUpande mwingine wa shilingi ni muhimu tena sana.
Otherwise huyu dada akija kupata kazi nzuri na kujiweza kiuchumi yuko likely kumuacha jamaa.
Hitaji la kwanza la mwanamke katika uhusiano wa kimapenzi si pesa wala vitu
kweli mwanamke ni kiumbe cha ajabuHabari zenu wana JamiiForums,
Jamani leo nimekuja na stori inayonihusu, inshort nimemaliza chuo mwaka wa tatu sasa niko home tuu no job, sasa jamani tangu nikutane nae ni 2 years sasa ananihudumia kwa kila kitu mpaka credit jamani.
Kanipangia na analipa kodi na matumizi yote napata ila haniambiagi ananipenda wala kanimiss au kamiss mashamsham yangu hadi nimwambie ninahamu nae ndipo atume nauli ndio niende na ananikaza kisawasawa nikienda.
Sasa nimweleweje kuna upendo apo?
Matumizi yote napata ila hanipeti peti nimweleweje?
Huyo anakupenda ndo maana anakuhudumia, anachokosa kukupa mpe wewe.mpaka nimekuja ujue nimefanya hayo ila hatak change
Sent from my HUAWEI VNS-L21 using JamiiForums mobile app
duuhhh!!hajibu ng'odoAnakufanyia yote hayo na bado unahisi haitoshi, je wewe unamfanyia nini kustahili kuhoji zaidi??
Rejea maelezo ya mtoa mada, kama vp naomba unipe hiyo nafasi nikukaze km ww ni sheUnaongelea vile vitanda vya teremka tukaze au!!!
We!! mie me.Rejea maelezo ya mtoa mada, kama vp naomba unipe hiyo nafasi nikukaze km ww ni she
eeeh! mbona mwandiko wako wa ke kbs! utakosa bahati shauri lako.We!! mie me.
Usiangalie mwandiko, nisikilize mimi!!eeeh! mbona mwandiko wako wa ke kbs! utakosa bahati shauri lako.
sawa nshakusikiliza lkn na ww niskilize pia mbona wapenda kusikilizwa ww tu?Usiangalie mwandiko, nisikilize mimi!!
Haya nakusikiliza[emoji101]sawa nshakusikiliza lkn na ww niskilize pia mbona wapenda kusikilizwa ww tu?
Kwakwel she is asking for too much,yaani Kila kitu upewe,kukazwa ukazwe vizur bado na kupetiwa pia hyo kaz ya kupeti aifanye yeye ampeti jamaaUnataka nini wewe haswaaa?Kama anakuhudumia kila kitu na wewe ni wajibu wako kumtimizia haja zake sio kila kitu lazima aseme yeye
Wanawake ni complicated sana utajiumiza kichwa ukitaka kumlidhisha Kwa Kila kituUpande mwingine wa shilingi ni muhimu tena sana.
Otherwise huyu dada akija kupata kazi nzuri na kujiweza kiuchumi yuko likely kumuacha jamaa.
Hitaji la kwanza la mwanamke katika uhusiano wa kimapenzi si pesa wala vitu