MAAJABU YA MUNGU MWANAMKE ANA MIGUU MITATu

MAAJABU YA MUNGU MWANAMKE ANA MIGUU MITATu

nilijua tuu huyu lazima ni wewe manake nilianza kusoma comments tokea chin nilipofika neno na log off k=nkajisema huyu ni Washawasha...................

una balaa kweli kweli, unafkiri na mbelen nako kagawanyika kama nyuma?? manake kwa nyuma utaoa 2 in one
Haaaaa haaaa haaaaaa, ndo zake huyo.... sijui anajiunga bundle la dk 1
 
Ina maana ni wanawake tofauti mkuu?
Naona tofauti ya vidole kwenye huo mguu wa kati.

Picha ya 1 :vidole vitano
Picha ya 3 :vidole vitatu
Picha ya 4 :vidole sita
Picha ya 5 :vidole nane.
Nimekukubali, upo makini.
 
MziziMkavu hope ni picha ya wanawake tofautitofauti maana kichwa cha habari ni mwanamke ila ndani ni wanawake!!! Vinginevyo tukubali ni photoshop!!
 
Ina maana ni wanawake tofauti mkuu?
Naona tofauti ya vidole kwenye huo mguu wa kati.

Picha ya 1 :vidole vitano
Picha ya 3 :vidole vitatu
Picha ya 4 :vidole sita
Picha ya 5 :vidole nane.
nilipopaona ndio hapa,kama ni mtihani wangesema tumetazamiana,umemaliza kila kitu
 
do_you_see_any_callouses__by_extramorphs-d5d103f.jpg
Mguu wa katikati una vidole gumba viwili kwa maana hiyo na zenyewe zipo mbili
 
nilijua tuu huyu lazima ni wewe manake nilianza kusoma comments tokea chin nilipofika neno na log off k=nkajisema huyu ni Washawasha...................

una balaa kweli kweli, unafkiri na mbelen nako kagawanyika kama nyuma?? manake kwa nyuma utaoa 2 in one

bi dada gfsonwin,pale ni full kufaidi utamu uko mara mbili hadi raha!
Nalog off
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom