MAAJABU YA MUNGU MWANAMKE ANA MIGUU MITATu

MAAJABU YA MUNGU MWANAMKE ANA MIGUU MITATu

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
do_you_see_any_callouses__by_extramorphs-d5d103f.jpg
 
nikimpata huyu mbona nitafaidi!
Nalog off

nilijua tuu huyu lazima ni wewe manake nilianza kusoma comments tokea chin nilipofika neno na log off k=nkajisema huyu ni Washawasha...................

una balaa kweli kweli, unafkiri na mbelen nako kagawanyika kama nyuma?? manake kwa nyuma utaoa 2 in one
 
Last edited by a moderator:
Ina maana ni wanawake tofauti mkuu?
Naona tofauti ya vidole kwenye huo mguu wa kati.

Picha ya 1 :vidole vitano
Picha ya 3 :vidole vitatu
Picha ya 4 :vidole sita
Picha ya 5 :vidole nane.

nashukuru na wewe uneliona hilo. on top of that, hiyo position ya mguu wa kati na development yake vizuri hivyo is not feasible.
 
Back
Top Bottom