Maajabu ya Mji wa Chato

Naunga mkono hoja yako..... maana mkataa kwao ni mtumwa.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Shangaaa wewe.
kweli kuongoza Tz ni sawa na kubeba gunia la misumari na vipande vya chupa....
lol

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Jamani picha mbona zipo nyingi tu page ya kwanza ya huu uzi.
 
nyumbani kwa rais na waziri wa muda mrefu serikalini miaka ya nyuma. Tujifunze kujenga kwetu tupatapo fursa
 
jamaa anatumia vibaya sana pesa zetu anaweka mataa kuongoza baiskeli barabarani

mwisho wa siku pia atawasafirisha bure kwa ngege
 
Watu waongo! Dah! Eti zahanati na hospital in full kiyoyozi, lami ya mjini hata Km 3 hazifiki, anyway n mawaza na maono yako.
 
Barabara nzuri ila baiskeli zimetawala kweli kweli, anyway nyie wa rorya hapa mnaweza msinielewe au nyie we marinyi barabara mbovu wilaya nzima, kwaio naombeni utulivu wenu hapa.



Basi hizo ndizo ziwekewe utaratibu wa kutumia hayo mataa ili nishati isikwishe bure
 
jamaa anatumia vibaya sana pesa zetu anaweka mataa kuongoza baiskeli barabarani

mwisho wa siku pia atawasafirisha bure kwa ngege

Waende wapi tena na ndege? Ila Tanzania ni moja, hamia chato mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…