safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,161
- 15,836
Kumbe IQ ni kujua lugha,kipimo hiko kitakuwa batili.Inakuwa IQ yako ni ziro.
Maana hata ukimpima IQ ya eistein kwa maswali ya kiswahili anascore 0 haswa.
Kumbe IQ ni kujua lugha,kipimo hiko kitakuwa batili.Inakuwa IQ yako ni ziro.
Dynamo ni nini ? Tofauti ya dynamo na generator ni kwamba dynamo ina commutator (ambayo ni brush fulani inayoconvert AC current kwenda DC) vitu vingi ndani ya nyumba ni DC ndio maana kuna adaptors zinazobadilisha hio AC kutoka kwenye power generation kuwa DC ili itumike sehemu mbalimbaliKwahiyo unataka kusema umeme unaotumia nyumbani ni wa dynamo?
Alternating Current na Direct Current...,Kwa lugha nyepesi kumuelewesha mtu nini tofauti ya AC na DC
Nakuelewa Sana Mkuu.KUNA UHUSIANO MKUBWA KATI YA KUOA MKE NA AKILI.
Then amefanya kipi chenye tija na hy IQ yake??Mbona hamuwaandiki wanasayansi weusi waliogundua Light Bulb kama lewis Latimer?
Unajua kwamba Kijana mweusi Ramarni Wilfred ame score IQ ya Juu zaidi ya 162 kupita Stephen Hawking, Albert Einstein na Bill gates?
Hili ni somo sasa unahitaji sio lugha rahisi tena.Kwa lugha nyepesi kumuelewesha mtu nini tofauti ya AC na DC
Hapo umepiga story tu, dc haiwezi kusafirishwa na waya mnene kwa sababu haipotei, kuna sehemu Marekani wametransmit umeme wa dc kwa kilometer kadhaa sipakumbuki ni wapi ila ipo hiyo sehemu.Dynamo ni nini ? Tofauti ya dynamo na generator ni kwamba dynamo ina commutator (ambayo ni brush fulani inayoconvert AC current kwenda DC) vitu vingi ndani ya nyumba ni DC ndio maana kuna adaptors zinazobadilisha hio AC kutoka kwenye power generation kuwa DC ili itumike sehemu mbalimbali
Solar ni DC, Batteries ni DC (kuhusu chombo kutumia DC au AC ni kwamba kinatengenezwa ili kitumie hivyo...., kwahio hata generator za kipindi hicho / dyanamo zilikuwa zinatoa AC current ila wanaibadilisha kuwa DC kulingana na matumizi...
Now why AC ?!!!
Kusafirisha umeme kama DC tuseme ufike kwako kama unataka kutumia high current..., zinahitaji kwanza waya nene alafu kutokuwa na upotevu mkubwa wa nishati kama heat (sababu product of heat ni Current x Current x Resistance) kwahio utaona high current kwenye waya kusafirisha umbali mrefu kutakuwa na upotevu mkubwa wa nishati..., Kwahio sababu kunakitu kinaitwa transformer (ambayo basic formula ni Current 1 Voltage 1 equals Current 2 Voltage 2 hivyo ni rahisi kusafirisha umeme kwa high voltage low current na ikifika sehemu inayohitajika kunakuwa na Step Up Transfomer ambayo inapandisha current kutokana na matumizi hivyo less power wastage...
Watu wengi walikuwa wanajua hii kitu, ila walikuwa wanaogopa AC kwamba ni dangerous..., Tesla alijitahidi kuwa convince customers kwamba huu umeme sio hatari na kama unavyojua biashara inategemea customers kama products nyingi zikitengenezwa universally kutumia aina fulani ya nishati basi ni rahisi kwa aina hio kuwa mainstream....
Unaongelea High Voltage Direct Current Transmission hio ni efficient iwapo tu unasafirisha umeme mwingi kwa umbali mkubwa sana (hapo DC itakuwa efficient sababu haina Skin Effect kama AC) ila kwa kawaida with all things being equal ni rahisi kwa transfomer kutumika ku-step down current na kuongeza voltage wakati wa kusafirisha umeme (kupunguza loss due to heat) na ikifika mahali inapoenda kunakuwa na transformer nyingine.. Ila technology zinavyobadilika na mambo yanabadilika..., High Voltage Direct Current Transmission huenda ikawa inatumika zaidi na zaidi hapo baadae, kumbuka convertion inapoteza nishati na power stations nyingi duniani zinatoa AC na sio DC (kwa kutumia generators)Hapo umepiga story tu, dc haiwezi kusafirishwa na waya mnene kwa sababu haipotei, kuna sehemu Marekani wametransmit umeme wa dc kwa kilometer kadhaa sipakumbuki ni wapi ila ipo hiyo sehemu.