Mawematatu
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 468
- 608
Tangu utaratibu wa kuchukua benki advance uanze kwenybenko zetu Kuna jambo Moja ajabu sana.
Hakuna anayependa ijulikane..watu wanajisevia kimya kimya. Yaani kwenye hili ama wanaojua ni benki pekee. Hakuna anayefanya kiwaziwazwazlll
Sasa kasheshe iko kwenye kuona balance mwisho wa mwezi..Mimi mwenyewe nishapata tabu kuamini kiasi kimeendanl wapi kumbe benki advance..
Yote haya ni kutokana na ugum wa maishawatu wanachukua sana..hat kama watabisha
Pole sana kwa kulazimishwa kuichukua hiyo benki advance. Alaaniwe aliyekushikia mtutu wa bunduki na kukulazimisha uchukue benki advance la sivyo atakuua.Tangu utaratibu wa kuchukua benki advance uanze kwenybenko zetu Kuna jambo Moja ajabu sana.
Hakuna anayependa ijulikane..watu wanajisevia kimya kimya. Yaani kwenye hili ama wanaojua ni benki pekee. Hakuna anayefanya kiwaziwazwazlll
Sasa kasheshe iko kwenye kuona balance mwisho wa mwezi..Mimi mwenyewe nishapata tabu kuamini kiasi kimeendanl wapi kumbe benki advance..
Yote haya ni kutokana na ugum wa maishawatu wanachukua sana..hat kama watabisha
Na wewe ni mtumishi wa umma?!! Ndio hata kuandika huwezi!!!,Tangu utaratibu wa kuchukua benki advance uanze kwenybenko zetu Kuna jambo Moja ajabu sana.
Hakuna anayependa ijulikane..watu wanajisevia kimya kimya. Yaani kwenye hili ama wanaojua ni benki pekee. Hakuna anayefanya kiwaziwazwazlll
Sasa kasheshe iko kwenye kuona balance mwisho wa mwezi..Mimi mwenyewe nishapata tabu kuamini kiasi kimeendanl wapi kumbe benki advance..
Yote haya ni kutokana na ugum wa maishawatu wanachukua sana..hat kama watabisha
cheki huyu nae, eti "uwezi" halafu anamkandia mwenzake.Na wewe ni mtumishi wa umma?!! Ndio hata kuandika uwezi!!!,
Aisee itachukua muda hii Nchi kujikwamua kwenye umasikini Kama watumishi wenyewe ni dizaini yenu
Hii kitu sio kabisa japo haiepukiki kwasababu za hali kiuchumi tu lakini ni mwanzo wa kutokupiga hatuaTangu utaratibu wa kuchukua benki advance uanze kwenye benki zetu Kuna jambo Moja ajabu sana.
Hakuna anayependa ijulikane..watu wanajisevia kimya kimya. Yaani kwenye hili ama wanaojua ni benki pekee. Hakuna anayefanya kiwazi wazi
Sasa kasheshe iko kwenye kuona balance mwisho wa mwezi. Mimi mwenyewe nishapata tabu kuamini kiasi kimeenda wapi kumbe benki advance..
Yote haya ni kutokana na ugumu wa maisha watu wanachukua sana hata kama watabisha
Hii kitu sio kabisa japo haiepukiki kwasababu za hali kiuchumi tu lakini ni mwanzo wa kutokupiga hatua
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Unanywea Beerr....😀😀😀😀Hii kitu sio kabisa japo haiepukiki kwasababu za hali kiuchumi tu lakini ni mwanzo wa kutokupiga hatua
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Thanx, nimepata taabu sana kuelewa nikawa najiuliza ni fursa mpya tusiyoijua?Salary advance,, nadhan ndicho unachozungumzia
Umasikini wako ndio unaokusumbua alafu unataka huduma isitishwe kwasababu ya shida zako zakushindwa kusimamia ela yako..Sasa wewe badala ushukuru kua inakusaidia unataka iondolewe tena.ina maana hujui jinsi ambavyo hiyo huduma inasaidia watu.hivi watu wengine mkoje.Hii kitu aliyebuni alaaniwe kwakwel[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nishakuwa kilema wa hii kitu yaan hata niwe na pesa ya kutosha mwez mzima ila lazima tu ntajikuta nimepata katatizo ka ziada najikuta nachukua ,yaan hii kitu inaleta jeur sana ,bora waitoe tu.
Ndo kusema nyani haoni kundulecheki huyu nae, eti "uwezi" halafu anamkandia mwenzake.
Cheki nawewe hata kuanza sentensi na herufi kubwa hujui.cheki huyu nae, eti "uwezi" halafu anamkandia mwenzake.
Aisee... Bank advance !?Tangu utaratibu wa kuchukua benki advance uanze kwenye benki zetu Kuna jambo Moja ajabu sana.
Hakuna anayependa ijulikane..watu wanajisevia kimya kimya. Yaani kwenye hili ama wanaojua ni benki pekee. Hakuna anayefanya kiwazi wazi
Sasa kasheshe iko kwenye kuona balance mwisho wa mwezi. Mimi mwenyewe nishapata tabu kuamini kiasi kimeenda wapi kumbe benki advance..
Yote haya ni kutokana na ugumu wa maisha watu wanachukua sana hata kama watabisha
Cheki na wewe unatumia neno "cheki" ambalo sio neno la Kiswahili. "Nawewe" ndio kitu gani.Cheki nawewe hata kuanza sentensi na herufi kubwa hujui.
Cheki na wewe unaunganisha neno nawewe kama neno moja 🤣Cheki na wewe unatumia neno "cheki" ambalo sio neno la Kiswahili. Nawewe nd