Maajabu ya kitabu cha Quran kisayansi

Maajabu ya kitabu cha Quran kisayansi

Wazolee

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2018
Posts
3,924
Reaction score
4,521
Quran ni kitabu chenye muongozo na mafundisho ya dini ya kiislam ni ufunuo kutoka Kwa Mungu muumba Mbingu na aridhi kupitia Kwa mtume wake Muhammad (s,a,w)

Kadiri binaadamu wanavyopata ufuhamu wa kugundua mambo mbali mbali wanaikuta Quran ipo mbele Yao Kwa hatua nyingi sana

1) Mwaname na mwanamke ndani ya Quran wametajwa mara 23 na binaadamu ameumbwa Kwa chromosomes 23

2) Neno Day / siku ndani ya Quran limetajwa mara 365
Na idadi ya siku Kwa mwaka mmoja ni siku 365

3) Neno month/ mwezi ndani ya Quran limetajwa mara 12
Na idadi ya miezi Kwa mwaka mmoja ni miezi 12

4) Neno nchi kavu / Landi limetajwa mara 23 na neno Sea limetajwa mara 32
Ukitafuta asilimia hapo nchi kavu ni 29% na sea ni 71%

5) Universal expansion
Ulimwengu unatanuka sayansi imelithibisha hili tayari

Hiyo ndio Quran Kila kitu kipo very systemic
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ulitakiwa kwanza uchukue Quran uiweke katika computer alafu ufanye Filter ya neno Day, month, land , sea , men and women

Alafu ndio uje kuweka hizo emboj
 
Quran ni kitabu chenye muongozo na mafundisho ya dini ya kiislam ni ufunuo kutoka Kwa Mungu muumba Mbingu na aridhi kupitia Kwa mtume wake Muhammad (s,a,w)

Kadiri binaadamu wanavyopata ufuhamu wa kugundua mambo mbali mbali wanaikuta Quran ipo mbele Yao Kwa hatua nyingi sana

1) Mwaname na mwanamke ndani ya Quran wametajwa mara 23 na binaadamu ameumbwa Kwa chromosomes 23

2) Neno Day / siku ndani ya Quran limetajwa mara 365
Na idadi ya siku Kwa mwaka mmoja ni siku 365

3) Neno month/ mwezi ndani ya Quran limetajwa mara 12
Na idadi ya miezi Kwa mwaka mmoja ni miezi 12

4) Neno nchi kavu / Landi limetajwa mara 23 na neno Sea limetajwa mara 32
Ukitafuta asilimia hapo nchi kavu ni 29% na sea ni 71%

5) Universal expansion
Ulimwengu unatanuka sayansi imelithibisha hili tayari

Hiyo ndio Quran Kila kitu kipo very systemic
Kwasisi tuliokuwa WAISLAMU tunajua unafanya Taqya na UPOTOSHAJI MKUBWA

Hoja ya neno "mwanaume" na "mwanamke" kutajwa mara 23 sawa na chromosomes 23,

Hili ni jaribio la kulazimisha uhusiano kati ya maandiko ya dini na biolojia ya kisasa. Lakini ukweli ni kwamba maarifa ya chromosomes yaligunduliwa na sayansi katika karne ya 19 hadi 20 kupitia microscope, miaka 1200 baada ya Qur’an kuandikwa. Sasa jiulize: ikiwa Qur’an ilikuwa na lengo la kufunua maajabu ya DNA na chromosomes, kwa nini haikufunua hata kidogo kuhusu muundo wa seli, vinasaba (genes), au hata damu ina nini? Aidha, kutajwa kwa neno "mwanamke" na "mwanaume" mara 23 haimaanishi kuwa Qur’an ilikuwa inarejea chromosomes hiyo ni tafsiri ya baadae (post hoc), siyo ufunuo wa mapema.

Neno "siku" kutajwa mara 365

Hii si hoja ya msingi. Kwanza, lugha ya Qur’an ni Kiarabu na tafsiri ya maneno kama “siku” ni kwa muktadha tofauti. Pia, kuna tafsiri mbalimbali za Qur’an zenye idadi tofauti za kutajwa kwa maneno haya. Watafiti wa kiislamu wenyewe hawajakubaliana kuhusu idadi hizi hivyo basi kutumia idadi ya mara neno limetajwa kama hoja ya uungu wa Qur’an ni kujenga hoja juu ya mchanga. Isitoshe, kalenda ya kiislamu yenyewe ni ya mwezi (lunar calendar) yenye siku 354 au 355, si 365 kama ya Gregory. Kwa hiyo hoja yako inajichanganya yenyewe.

Neno "mwezi" kutajwa mara 12

Hili pia ni jambo la kawaida. Mwezi 12 ni uelewa wa kawaida wa binadamu tangu zama za kale kabla hata ya Uislamu. Mataifa ya kale kama Wababiloni, Wamisri, na hata Wayahudi walikuwa wanajua kuhusu miezi 12 kutokana na mzunguko wa mwezi angani. Hili si jambo la kushangaza wala muujiza. Linathibitisha tu kuwa Qur’an ilikuwa inaendana na maarifa ya wakati wake, si kwamba ilitangulia sayansi.

Neno "nchi kavu" limetajwa mara 13 na "bahari" mara 32 – asilimia 29% na 71%,UPOTOSHAJI mwingine huu😂

Kwanza kabisa, takwimu hizi haziko sahihi kila tafsiri au lahaja ya Qur’an itapotoa idadi tofauti kulingana na matumizi ya maneno hayo. Lakini hata kama zingekuwa sahihi, bado si hoja ya ajabu. Kwa nini? Kwa sababu watu wa kale walikuwa wanajua kuwa dunia ina bahari nyingi kuliko ardhi. Bahari zilionekana kuwa kubwa mno katika safari na maelezo ya wafanyabiashara, wavuvi, na wasafiri. Hii ni elimu ya kawaida, si ya kimungu. Na cha kushangaza ni kwamba Qur’an haikuwahi kueleza kwa wazi kabisa kuwa dunia ni mviringo au ina mizunguko ya sayari. Hiyo ndiyo hoja ya msingi kama kweli ilikuwa mbele ya sayansi.

Hoja ya ‘Universal Expansion’ (ulimwengu kutanuka),TAQYA nyingine hii👇👇

Ni kweli sayansi ya kisasa kupitia kazi za Edwin Hubble imeonyesha kuwa ulimwengu unapanuka. Lakini aya ya Qur’an inayosemekana kurejea jambo hili (Surah Adh-Dhariyat 51:47) inatafsiriwa kwa namna mbalimbali. Neno “muusi” au "wameipanua" lina tafsiri zisizo thabiti tafsiri zingine zinamaanisha tu “tuliumba kwa uwezo.” Isitoshe, Qur’an haijawahi kueleza wazi wazi jambo la expanding universe kwa namna ya kisayansi inayothibitisha maarifa hayo. Hii ni tafsiri iliyolazimishwa baada ya ugunduzi wa kisasa tena kutoka kwa watu wanaotaka kuhalalisha Qur’an kwa mtazamo wa kisayansi.
 
Quran ni kitabu chenye muongozo na mafundisho ya dini ya kiislam ni ufunuo kutoka Kwa Mungu muumba Mbingu na aridhi kupitia Kwa mtume wake Muhammad (s,a,w)

Kadiri binaadamu wanavyopata ufuhamu wa kugundua mambo mbali mbali wanaikuta Quran ipo mbele Yao Kwa hatua nyingi sana

1) Mwaname na mwanamke ndani ya Quran wametajwa mara 23 na binaadamu ameumbwa Kwa chromosomes 23

2) Neno Day / siku ndani ya Quran limetajwa mara 365
Na idadi ya siku Kwa mwaka mmoja ni siku 365

3) Neno month/ mwezi ndani ya Quran limetajwa mara 12
Na idadi ya miezi Kwa mwaka mmoja ni miezi 12

4) Neno nchi kavu / Landi limetajwa mara 23 na neno Sea limetajwa mara 32
Ukitafuta asilimia hapo nchi kavu ni 29% na sea ni 71%

5) Universal expansion
Ulimwengu unatanuka sayansi imelithibisha hili tayari

Hiyo ndio Quran Kila kitu kipo very systemic
Aibu nmeona mimi
 
Ulitakiwa kwanza uchukue Quran uiweke katika computer alafu ufanye Filter ya neno Day, month, land , sea , men and women

Alafu ndio uje kuweka hizo emboj
Unapenda sana kuokoteza ujinga na kufanya UPOTOSHAJI

Kwanza hoja zako ni dhaifu kwa sababu hakuna tafsiri moja ya Qur’an ambayo kila mtu anakubaliana nayo.

Tafsiri za Yusuf Ali, Pickthall, Saheeh International, nk zote hutumia maneno tofauti.

Kwa mfano, neno "day" linaweza kutafsiriwa pia kama "days, daily, daybreak," nk. Hili linaathiri matokeo ya kuhesabu.

👉 Pia Qur’an iliandikwa kwa Kiarabu. Hivyo ni lazima uhesabu neno kwa Kiarabu mfano yawm kwa "siku".

Sasa “yawm” linaweza kumaanisha siku moja, au “siku ya hukumu,” au siku ya kawaida kulingana na muktadha.

Si kila “yawm” ni siku ya kalenda ya dunia.

Kwa hiyo kusema kuwa yametajwa mara 365 ni kulazimisha maana bila kuzingatia muktadha.,na ukiweka kwa Computer inaleta idadi tofauti ,ila kwakuwa UISLAMU UPO kupotosha kama kawaida yake ,tayari ushadanganya watu kuwa Ina neno siku 365😂😂

Wataalamu wa lugha ya Kiarabu na Qur’an wanasema kuwa neno “yawm” limetajwa takriban 365 mara lakini hiyo ni kwa kujumlisha aina zote

yawm (siku)

ayyam (siku nyingi)

yawman (siku kama kielezi)

Hivyo huwezi kusema kuwa “siku” ya kalenda limetajwa mara 365.

Ni kama kusema Biblia ikitaja “siku ya Bwana” na “siku ya huzuni” basi ni sawa na kusema hizo ni siku za kalenda 365? Hapana., huo ni UPOTOSHAJI na PROPAGANDA

Isitoshe, tafiti zingine zinasema zimetajwa mara 349 au mara 368 kulingana na uhesabuji na tafsiri. Sasa, kama ni “ufunuo kamili,” mbona hesabu zinatofautiana?😂😂😂😂

Pia Hoja ya “land” na “sea” kuwa 23 na 32,ni PROPAGANDA zenu zile zile za siku zote ..
Hii pia ni hoja iliyobuniwa na kuchezewa maneno., waislamu sijui lini mtaacha huu UZUSHI..

Kwa mfano, je ulijua kuwa kuna maneno mengine yanayomaanisha bahari kama "bahr," "yam," "nahr," n.k. Ambayo hutafsiriwa kwa “sea, river, ocean”?

Hivyo, kutaja neno “sea” mara 32 ni tafsiri tu ya kisasa ya Kiengereza, si uhalisia wa maneno ya Kiarabu.

Na “land” inaweza kutafsiriwa pia kama “ardh,” “bar,” “qarya,” “balad,” n.k. Hivyo hesabu hizo zinaweza kubadilika kulingana na tafsiri uliyochagua.,NI MCHEZO MDOGO TU KAMA WA KARATA TATU😂😂

✋ Pia kumbuka,hata kama zingekuwa ni 32 na 23, bado hilo si uthibitisho wa uungu wa Qur’an.

Ni kama kusema Biblia ni ya kipekee kwa sababu neno “love” limetajwa mara 310. Hilo ni tamathali tu, si miujiza.

Pia Kuhusu neno “men” na “women” kuwa 23 ni UTAPELI ule ule wa ULIMWENGU WA KIISLAMU...

Hoja hii ni maarufu sana miongoni mwa baadhi ya Waislamu wa mtandaoni hasa watu kama wewe mnaopenda PROPAGANDA.

Lakini haithibitishwi na kila tafsiri. Tafsiri nyingi hazioneshi maneno hayo yametajwa sawa. Na hata kama yangekuwa yametajwa mara 23 kila moja, je hiyo inathibitisha chromosomes?😂😂

Qur’an uenyewe haikusema popote “binadamu ana chromosomes 23 kutoka kila mzazi.”

Huo ni ujuzi wa kisasa ambao haukuwapo kabisa kwenye jamii ya Waarabu wa karne ya 7.

Hivyo, kusema kuwa walijua mapema ni sawa na kudai kwamba mtu wa kale aliyesema “damu ni muhimu” alikuwa akizungumzia chembechembe za damu (white blood cells). Ni kudanganya.

ACHA UPOTOSHAJI
 
Mbona mnatokwa na mapovu Kwa mambo ambayo hayawahusu?

Na kama mmeamua kuingia katika haya mambo ambayo hayawahusu mlitakiwa mfanye research alafu mje hapa mseme wewe ni muongo

Mwanamke na mwanaume wametajwa mara 800
Land na Sea zimetajwa mara 900
Neno siku limetajwa mara 2500

Sasa badala yake nyinyi mnakuja Kutoa toa mapovu yenu ambayo hayana hata mashiko

Hivi unajua hayo niliyoandika hapo ni vitu ambavyo mtu yoyote anaweza akafanya research Ili kuprove kama nilichokusema ni kweli au uongo

Yani mkisha sikia Quran tu mnachanganyikiwa Hadi mnakuwa kama mazuzu

Hicho kitabu mmezaliwa mmekikuta na mtakufa mtakiacha

Ila ni haki yane makafiri kuichukia Quran maana na Quran yenyewe hakuna watu inayowachukia kama Makafiri

Yani kitabu Cha Quran na makafiri ni kama polisi na bangi
 
Hata Biblia ilitabiri watakuja wapinga Kristo na kweli wamekuja
 
Back
Top Bottom