Hakuna nchi moja iliyo katikati kabisa ya dunia kisayansi, kwani dunia ni tufe linalozunguka. Hata hivyo, mstari wa Ikweta unapita katika nchi 13 kama Ecuador, na mstari wa Meridiani ya Greenwich (0 degrees) unapita nchi kama Uingereza na Ghana. Kitovu cha nchi kavu duniani kinatajwa kuwa maeneo ya Mashariki ya Ulaya au Asia Ndogo.Taifa la Israel lipo katikati ya dunia kigeographia.
Ni karibu kwenda Asia, Africa, Europe.
Mungu alichaguwa eneo hili ili litumike kwa ajili ya kueneza habari zake
Ilikuwa rahisi kuleta injili Africa, Asia na Europe. Mungu ni fundi
Wapagani kama kawaida yao watabisha