yaani aisee watu kweli kazi hawana,
pigeni kazi mpate mafanikio achaneni na mawazo ya herufi za shekhe yahya,
sasa kama huna jina lenye herufi K uache kufanya kazi kwasababu huna bahati au?
Hizi division zero za form four za mwaka jana zimeanza kuzaa matunda. Tutaona na kusikia mengi mwaka huu. Yetu macho na masikio. Asie mwana aeleke jiwe.
Hebu tazama watu ambao jina la ubini limeanza na herufi k walivyofanikiwa
Jakaya kikwete
Amani karume
Jommo kenyatta
Mwai kibaki
Paul kagame
Fareed kubanda
Juma kaseja
John kennedy
Laurent kabila
Zitto kabwe[/QUOTE
Absalom Kibanda