Maajabu Ya Google+.

Maajabu Ya Google+.

Hata ukipoteza you can remotely locate it, lock it, erase it/wipe everything, ring it with android device manager from the web. It uses your google account to find your phone. Unless someone was too fast to remove your account.

Hii imetulia sana
 
Mbona haya mambo yapo tu wakuu, ila hatari iliyopo ni kama hujaweka settings zako za sharing vizuri basi picha zote na data ambazo zitakuwa synced to gmail account watu wengine wanaweza kuziona hususani kama hutaki picha hizo watu wengine wazione. Double check your settings unapoweka auto-uploading on
 
Nina Samsung SII Mini, na nimeisajili kupitia gmail account yangu. Je niingilie wapi nipite wapi ili nitokezee huko na ni serve kila kitu changu huko kiwe salama? Nipeni maujuzi GTs.
 
.
nisicho ipenda google Drive ni ktk photo storage...
.
nili hifadhi picha zangu zilizokuwa na 3MB kila moja.. Kuja kuangalia nakuta
.
zina KB 28/30/38 Hv kiasi cha kwamba ningeweka 4shared ningekuta zipo kama zilivyokuwa ..

ukiona hivyo hiyo inawafanya wapunguze ukubwa ili ziwe nyingi na space ndogo umetumia..
 
.
nisicho ipenda google Drive ni ktk photo storage...
.
nili hifadhi picha zangu zilizokuwa na 3MB kila moja.. Kuja kuangalia nakuta
.
zina KB 28/30/38 Hv kiasi cha kwamba ningeweka 4shared ningekuta zipo kama zilivyokuwa ..

You can set it to upload original images without compression.
 
kaka sijajua kwa upande wa android ila kwa nokia lumia hiyo kitu ipo. Nilikuwa natumia lumia 620 ikapotea, niliumia sana kwasababu ilikuwa na vitu vingi sana muhimu lakini nilivyonunua Nokia Lumia nyingine nikaingiza ile mail ya live.com. kila kitu kikarudi, kuanzia contacts, sms, picha, videos.

na kuna mdada flan nilimsaidia kuweka sawa HTC yakke, kwa bahati mbaya niliweka email yangu ya gmail kwasababu yeye hakuwa na hyo mail, cha ajabu baadhi ya picha, video, vikawa vinakuja kwenye simu yangu. nikashangaa sana. nkawa nagombana nae kwanini ananitumia vitu vya ajabu. ila baada ya mwezi ndo nkaja kugundua nini kilifanyika.

hongera kwa kupata vitu vyako

Inawezekana kuCopy(export) contacts zako zoote kwenda kwenye google. Na pia unaweza kuziDownload(import) kutoka google.

Nenda contacts
Import/export
Select copy from (source) and check all required
Select copy to (destination) ambayo ni account yako ya gmail
 
Kuona maajabu nikafikiri simu imepasua bahari kutengeneza ukanda wa nchi kavu kwenda Zanzibar.

Kumbe ni habari ya kutokujua kutumia simu ku backup content kwenye social media?

Sasa mkulu picha zako zinakuwa copied kwenye Google+ hata hujui, ubnaweza kuwa na picha za faragha halafu zinaanikwa na app dunia nzima ione wewe hata hujui.
 
Nina Samsung SII Mini, na nimeisajili kupitia gmail account yangu. Je niingilie wapi nipite wapi ili nitokezee huko na ni serve kila kitu changu huko kiwe salama? Nipeni maujuzi GTs.

Download Google drive save picha, videos, documents humo. Contacts zi-sync with gmail account zitakuwa saved kwa email.
 
Kuona maajabu nikafikiri simu imepasua bahari kutengeneza ukanda wa nchi kavu kwenda Zanzibar.

Kumbe ni habari ya kutokujua kutumia simu ku backup content kwenye social media?

Sasa mkulu picha zako zinakuwa copied kwenye Google+ hata hujui, ubnaweza kuwa na picha za faragha halafu zinaanikwa na app dunia nzima ione wewe hata hujui.

They are not published
. Worry not
 
Aisee..sikua nalifahamu hili hapo awali kuhusu google+
 
Google+ ni social network kama Facebook au Twitter. Contents zako zinakuwa saved on Google drive sio g+ ila zote ziko ndani ya gmail account
 
Google+ ni social network kama Facebook au Twitter. Contents zako zinakuwa saved on Google drive sio g+ ila zote ziko ndani ya gmail account

Ni more than a social network, ni your google ID... and FYI Google+ has independent storage very different from google drive, and you can't see contents stored in Google+ kwenye google drive. Google+ photos are somehow replacing Picasa and are never ever in a two way relation with google drive...
 
Capture.PNG

Pia unaweza kuinstall hiyo google drive kweye desktop, laptop, tab na simu yako, chochote utakacho save humo just drag and drop unakipata kwenye device zako zote picha zako zote zilizoko goole drive unaweza ziona pia google+

Wadau,

Leo imekuwa siku ya pekee sana kwangu, Sio kwasababu ni mwaka mpya, bali ni kwamba mnamo mwanzo mwezi wa December 2013 simu yangu Samsung GT S6802 ilitumbukia kwenye mtaro na kupotea jumla.

Simu hiyo ilikuwa na kiasi kikubwa cha kumbukumbu pamoja na picha na video kadha. Nikajikatia tamaa kuwa basi tena hasara roho, nikanunua simu ingine Samsung Mega.

Kilichonishangaza leo hii nikiwa sina hili wala lile nimepata notificatin kwenye simu yangu mpya toka google+, nilipofungua nakuta picha zote zilizokuwa kwenye simu ile iliyozama na kupotea.

Kwa ufupi Nimefurahi sana.

Mnaojua tuelezeeni zaidi functioning ya hii application ya Google+.
 
mimi nilikubali sana pale nilipouza htc my touch kumbe niliuza na contacts zote nika nunua phone mpya nilivyo ingiza email ya Gmail tu ili backup contacts zangu zilizokuwa kwenye ile phone ya kwanza.
 
google drive = skydrive= dropbox

google+ = facebook = myspace

una uhakika gani hazionekani?

By default they are private, you and only you can see them. They get published the moment u decide to share them which ni lazima uchague which circles to share with, one must have a complete intention to share them to go through all that otherwise they will be there sitting privately quiet.
 
Back
Top Bottom