PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,202
- 8,787
Wadau,
Leo imekuwa siku ya pekee sana kwangu, Sio kwasababu ni mwaka mpya, bali ni kwamba mnamo mwanzo mwezi wa December 2013 simu yangu Samsung GT S6802 ilitumbukia kwenye mtaro na kupotea jumla.
Simu hiyo ilikuwa na kiasi kikubwa cha kumbukumbu pamoja na picha na video kadha. Nikajikatia tamaa kuwa basi tena hasara roho, nikanunua simu ingine Samsung Mega.
Kilichonishangaza leo hii nikiwa sina hili wala lile nimepata notificatin kwenye simu yangu mpya toka google+, nilipofungua nakuta picha zote zilizokuwa kwenye simu ile iliyozama na kupotea.
Kwa ufupi Nimefurahi sana.
Mnaojua tuelezeeni zaidi functioning ya hii application ya Google+.