Maajabu ya funguo niliyoiokota alfajiri ya leo

Ulikuwa na stress alafu umepata muda wa kupiga picha za matukio kama sehemu ulipokota funguo, kupiga picha kamfuko kako na kupiga picha ya kitasa chako😂😂😂 bongo raha sanaaaa. Anyway mm nasubr picha ya wakati unapoteza huo ufunguo😂😂😂😂
 
Yaani baada ya kupata shida wewe unampa na mwenzako shida? Mrudishie ufunguo wake pale pale akija aukute.
Kuhusu mambo mengine hakuna muujiza ila tu ni maisha yanakuvuruga.
 
Habari
Kiukweli nipo kweny mshangao kubwa na siamini hiki ninachokiona na sielewi nini kimetokea.

Leo alfajiri majira ya saa 11 na nusu nimeamka vzuri tu na kwenda msikitini kuswali. Na kumbukumbu zangu zipo vzur kuwa mlango wa chumba changu nimeufunga na kama kawaida funguo huwa naweka kwenye kifuko kadogo cha suruali

View attachment 1968848
Uongo, uong, uongo. Hadithi hii... umetunga simulizi. Umetumia ''nguvu'' nyingi sana kujieleza. Maneno meeeengi, na kuna maneno ambayo watu waongo hupenda kuyarudia rudia... ''kusema kweli'', ''Basi bhana'' ''Kiukweli''. Halafu ulivyo kilaza ukapost na picha ukidhani ndiyo utaweza kuteka watu.

Na mwisho ni kuwa mtiririko wako wa hadithi unakuumbua wewe mwenyewe. Usingeweza kuanza kutafuta msikitini na njia yote bila kwanza kujiridhisha kuwa ulikuwa umefunga mlango hasa unaposema nyumbani na msikitini siyo mbali.
 
Vitu vidogo mnawaza upuuzi. Hapo ni mfanano wa vitasa bei chee ambavyo funguo zinaingiliana
 
Kama ni kweli umeshapigwa tukio la kiroho ya giza, subiri matokeo tuu...

Lengo lake/lao lilikuwa ukatumie hiyo funguo uloiokota gheto kwako kisha watakuwa wameishamaliza mchezo.

Ndio maana ulifumbwa akili usikumbuke kujaribu mlango kwanza kama uliufunga ama laah.

Nadhani Mshana Jr atakuwa na predictions nzuri zaidi.

Unforgettable
 
Hivyo vitasa ni chenga, unaweza ukakifokea tu na kikafunguka...

Rudisha tu funguo ya watu...
images (37).jpeg
 
Back
Top Bottom