Maajabu ya dunia.....

Remmy

JF-Expert Member
Jun 9, 2009
4,701
1,799
Ama kweli duniani kuna maajabu ya kutisha. Yametokea huko majuu kwa ndugu wa mama mmoja kupendana sana kimapenzi kiasi cha dada kukubali kuachika na mumewe aliyezaa nae binti. mama wa watu hao aliwababamba sebuleni wakijivinjari, hakuamini macho yake, alipagawa na kupiga kelele akapiga simu polisi, walishtakiwa kwa kutenda kosa la kujamiiana. hatimaye kipimo cha GSA kiitwacho Genetic Sexual Atraction, ikimaanisha kuna genes ambazo huwafanya ndugu wawe crazy atracted sexually with each other kilichukuliwa kwa ndugu hao. na majibu kutoka kuwa kinashaabiana na ndugu hao. hivyo ripoti inasema GSA ipo kwa asilimia zaidi ya hamsini kwa wanandugu wanaokuja fahamiana ukubwani. mama yao aliwaomba radhi vijana wake na akaisihi jamii kutowatenganisha watoto mpaka ukubwani. baada ya haya jamani tusiwashangae sana ndugu kupendana ni genetic make up............
 
karne hii kila kitu kichafu kinapatiwa solution ya genetics, hii ndio tunayoiita matumizi mabaya ya sayansi
 
Mi nlishawahi kuwafumania watoto wa shangazi yangu live wakilimega tunda.
Hapo tuliokuwa kwenye likizo ya Mwinyi tukisubiri majibu ya form six yatoke.
 
kweli hii sayansi itatufikisha pabaya mwisho wa cku unaambiwa no problem kumegwa na mzazi wako ati genes cjui genics!
 
kweli hii sayansi itatufikisha pabaya mwisho wa cku unaambiwa no problem kumegwa na mzazi wako ati genes cjui genics!
Kila kitu sasa kitatafutiwa majibu ya kisayansi wakati ni shetani tu ndio katutawala!
 
karne hii kila kitu kichafu kinapatiwa solution ya genetics, hii ndio tunayoiita matumizi mabaya ya sayansi

Kumbe je! Nani kakwambia shetani analala usingizi.thubutu anafanya research za kufa mtu ili akikushushia ujinga kama huu wa hubanduki...................sasa hivi kila kitu ni ruksa in the name of science! Walianza ******* na sasa wanakuja hawa!:A S angry:
 
Back
Top Bottom