Maajabu ya dunia yanataka kufanyika Tanzania

mtoa mada huelewi mantiki ya serikali tatu, mimi nakwambia ili muungano uwe imara its either 3 government or 1, mi nakumbuka sera ya cdm kuigawa tz katika majimbo ilikua nzuri sana mfano coastal zone iwe na mikoa dar na pwani,kanda ya ziwa shy,mza na bk,kaskazin arusha,moshi hata na manyara,kati singida,dodoma n.k ili kule wawe wanatoka magavana tu then rais anakua mmoja,lakini hii ya serikali 2 haina mashiko kabisaaaaaaaaaa
 
Kama tunavyo jua ndugu zangu wapendwa, Tanzania inataka kuunda serekali tatu,

1) Serekali ya Tanganyika
2) Serekali ya Zanzibar
3) Na Serekali ya Muungano.!

Tanzania itakuwa inchi ya kwanza duniani kufanya jambo hili la kiajabu (na inchi yenyewe ni maskini)

Niambieni jamani vipi inchi itaongozwa na Maraisi watatu (hii haiwezekani kabisa).

Hata katika meli rubani wake ni mmoja tu (ukiweka marubani watatu meli itazama tu).

Uwamuzi bora kabisa ni huu ufuatao; kila inchi ichukue Khamsini zake, Tanganyika iwe huru na Zanzibar iwe huru (na kila inchi iwe na raisi wake).

Na baada ya inchi hizo kuwa huru (ifanywe mkataba wa undugu baina ya Tanganyika na Zanzibar). hakika akili ni nywele na wewe zako zimeishia hapo eti.

utakuta mtu na akili zake kazaliwa miaka ya 1970s na kuendelea. eti analalamika ooo naitaka tanganyika yangu hv unajua neno tanganyika lilitokea wap?? nchi ya tanganyika ilidumu kwa muda gani?? pumbav wewe ni MTANZANIA .nukta.

Tanganyika ndiyo nchi yangu, bahati mbaya kabisa Nyerere alitamani kinipa nchi ya kambo inilelee lakini haikuwa na mapenzi na mimi.
Nataka kurudi kwa mama yangu mzazi,Tanganyika.
Tanzania nitamheshimu kama mama mlezi tu.Wazanzibar msihofu Watanganyika kuwa na serikali yao ni haki yao kama ilivyo kwa serikli ya Mapinduzi.
 
kilaza zaidi ni huyo aliyeibua hili wazo la serikali tatu. ameharibu sana vichwa vya watu.
 
Kama tunavyo jua ndugu zangu wapendwa, Tanzania inataka kuunda serekali tatu,

1) Serekali ya Tanganyika
2) Serekali ya Zanzibar
3) Na Serekali ya Muungano.!

Tanzania itakuwa inchi ya kwanza duniani kufanya jambo hili la kiajabu (na inchi yenyewe ni maskini)

Niambieni jamani vipi inchi itaongozwa na Maraisi watatu (hii haiwezekani kabisa).

Hata katika meli rubani wake ni mmoja tu (ukiweka marubani watatu meli itazama tu).

Uwamuzi bora kabisa ni huu ufuatao; kila inchi ichukue Khamsini zake, Tanganyika iwe huru na Zanzibar iwe huru (na kila inchi iwe na raisi wake).

Na baada ya inchi hizo kuwa huru (ifanywe mkataba wa undugu baina ya Tanganyika na Zanzibar).
Ndugu wengi humu ni watu wazima na akili zao!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Suala la kudai Tanganyika yetu halihusiani na tumezaliwa lini you idiot. Asili ya jina la nchi haimzuii mwananchi kudai nchi yake.

Huo muungano wenu wa kuwafaidisha Wapemba huku sisi tunaambulia matusi binafsi sina shida nao. Na siku nyingine usije na hoja za kujishaua km mtoto wa kike wa uswahilini wky watu wanadai Tanganyika yao

Haya mambo ya kudai ipo siku mtakuja kudai yule liyembikiri mama yako
 
utakuta mtu na akili zake kazaliwa miaka ya 1970s na kuendelea. eti analalamika ooo naitaka tanganyika yangu hv unajua neno tanganyika lilitokea wap?? nchi ya tanganyika ilidumu kwa muda gani?? pumbav wewe ni MTANZANIA .nukta.

Anaemuona mwenzake upumbavu bila shaka yeye ndio pumbav, Duuh!
 
Kama tunavyo jua ndugu zangu wapendwa, Tanzania inataka kuunda serekali tatu,

1) Serekali ya Tanganyika
2) Serekali ya Zanzibar
3) Na Serekali ya Muungano.!

Tanzania itakuwa inchi ya kwanza duniani kufanya jambo hili la kiajabu (na inchi yenyewe ni maskini)

Niambieni jamani vipi inchi itaongozwa na Maraisi watatu (jambo hili haliiwezekani kabisa).

Hata katika meli rubani wake ni mmoja tu (ukiweka marubani watatu meli itazama tu).

Uwamuzi bora kabisa ni huu ufuatao; kila inchi ichukue Khamsini zake, Tanganyika iwe huru na Zanzibar iwe huru (na kila inchi iwe na raisi wake).

Na baada ya inchi hizo kuwa huru (ifanywe mkataba wa undugu baina ya Tanganyika na Zanzibar).

yani hata kuandika kiswahili fasaha na sanifu hujui...hii inareflect ulivyo m'bovu kitaaluma (kilaza) na kipofu wa fikra....HEBU PIGANIA UONGEZE ELIMU YAKO KWANZA..Hilo ndilo la msingi kwa sasa...kuliko kujaza server kwa huu ushuzi hapa
 
Ukitaka kufundishwa lugha ya Kiswahili, njoo kwangu nitakusomesha bure , teh, teh, Duuh!
 
Anaemuona mwenzake upumbavu bila shaka yeye ndio pumbav, Duuh!

Mahmood kichwa chako ni kigumu kutafakari hapo mwishoni umependekeza kawepo kamkataba sasa huo mkataba unatofauti gani na serikali ya tatu? Au umekariri ukisikia neno serikali lazima liendani na Rais? Hivi serikali ya mkoa wa dodoma ina rais?
 
Kwa kuwa walioziunganisha hizi nchi hawapo, basi watawala waliopo sasa wanashindwa kufanya maamuzi sahihi juu ya hili, kila mmoja anajiona anajua na kuvutia kwenye hisia zake...sijui mwisho itakuwaje? TUMUOMBE MUNGU atunusuru.
 
kilaza zaidi ni huyo aliyeibua hili wazo la serikali tatu. ameharibu sana vichwa vya watu.

Acha upuuzi kila mtu haki ya kutoa maoni yake bila kuvunja sheria .na ni muhimu sana kurudi kwa mama Tanganyika .tupate haki zetu kama watanganyika .wazanzibar wana nchi yao na sheria za zao za kulinda maslai ya wazanzibar but hatuna .wanalinda nchi yao na ardhi yao .raslimali zao but what about Tanganyika ?where r u ?? Unafanya nini ?
 
swali zuri sana mkuu.mbona tumeshavunja record nyingi tu tu mfano ya huyu raisi wetu kushinda angani kama popo
 
Mleta mada, maajabu Yapo mengi sana, Hebu tuangalie na hili. Kimsingi nilitaka kuleta thread ya jambo hili lakini si jambo baya tukalijadili hapa pia. Kama mtu ataweza ( ana laptop hapo) aitengenezee thread yake tafadhali.

Tatizo wa tz tumevurugwa sana na muundo wa serikali tukasahau Kwamba kuna mambo mengi ya hovyo Yapo kwenye rasimu ya katiba mpya kuliko hilo.

Hakuna linalonishangaza mm kama jimbo moja kugombewa na watu wawili, mwanamke na mwanaume.

Mpaka Sasa sijajua mantiki ya hili jambo ni nini Hasa. Ninajiuliza maswali yafuatayo lakini Sipati majibu sahihi.

1. Wabunge wawili kwenye jimbo moja watafanyaje kazi.

2. Wanapokuwa kwenye mkutano wa hadhara ni nani atakuwa boss wa mwenzake kwa mujibu wa protocol.

3. Ni nini umuhimu au maana ya kuwa na wabunge wawili. Na kama ni gender balance je ni kweli ina maana na faida yoyote kwenye maendeleo ya jamii husika.

4. Tunatambua wilaya moja ina jimbo zaidi ya moja ( sio zote Bali zilizo nyingi). Kwa mfumo huu je itatulazimu pia kuwa na wakuu wa wilaya wawili na DEDS wawili pia. Bcoz wilaya ni kubwa kuliko jimbo.

Ningependa wale wabunge waliomo humu waangalie jambo hili kwa umakini sana na wakalisemee bungeni ipasavyo.

Kwa ufahamu wangu mm, hakuna mwanamke aliewahi kukataliwa kwa sababu ya uanamke wake. Ndio maana tuna wabunge wanawake wa majimbo sio wakuteuliwa.

Tunapoingiza kwa ulazima kubeba watu si jambo jema kwa taifa. Hatujengi msingi na mfumo mzuri wa uwezo kwa watu wetu, zaidi ya kujenga tabia ya mbeleko na si jambo zuri kwa maendeleo ya nchi na watu wake.

Msingi imara ndio uimara wa nyumbani yenyewe.
 
kuna umuhimu wa watu kupewa elimu ya kujitambua,watu hawaelewi hata maana ya serikali 1,2,3 au mkataba,
 
Back
Top Bottom