Maajabu ya dunia yanataka kufanyika Tanzania

Mahmood

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2008
Posts
7,908
Reaction score
2,480
Kama tunavyo jua ndugu zangu wapendwa, Tanzania inataka kuunda serekali tatu,

1) Serekali ya Tanganyika
2) Serekali ya Zanzibar
3) Na Serekali ya Muungano.!

Tanzania itakuwa inchi ya kwanza duniani kufanya jambo hili la kiajabu (na inchi yenyewe ni maskini)

Niambieni jamani vipi inchi itaongozwa na Maraisi watatu (jambo hili haliiwezekani kabisa).

Hata katika meli rubani wake ni mmoja tu (ukiweka marubani watatu meli itazama tu).

Uwamuzi bora kabisa ni huu ufuatao; kila inchi ichukue Khamsini zake, Tanganyika iwe huru na Zanzibar iwe huru (na kila inchi iwe na raisi wake).

Na baada ya inchi hizo kuwa huru (ifanywe mkataba wa undugu baina ya Tanganyika na Zanzibar).
 
Kama tunavyo jua ndugu zangu wapendwa, Tanzania inataka kuunda serekali tatu,

1) Serekali ya Tanganyika
2) Serekali ya Zanzibar
3) Na Serekali ya Muungano.!

Tanzania itakuwa inchi ya kwanza duniani kufanya jambo hili la kiajabu (na inchi yenyewe ni maskini)

Niambieni jamani vipi inchi itaongozwa na Maraisi watatu (hii haiwezekani kabisa).

Na baada ya inchi hizo kuwa huru (ifanywe mkataba wa udungu baina ya Tanganyika na Zanzibar).

Matumizi mabaya ya akili
 
Kama tunavyo jua ndugu zangu wapendwa, Tanzania inataka kuunda serekali tatu,

1) Serekali ya Tanganyika
2) Serekali ya Zanzibar
3) Na Serekali ya Muungano.!

Tanzania itakuwa inchi ya kwanza duniani kufanya jambo hili la kiajabu (na inchi yenyewe ni maskini)

Niambieni jamani vipi inchi itaongozwa na Maraisi watatu (hii haiwezekani kabisa).

Hata katika meli rubani wake ni mmoja tu (ukiweka marubani watatu meli itazama tu).

Uwamuzi bora kabisa ni huu ufuatao; kila inchi ichukue Khamsini zake, Tanganyika iwe huru na Zanzibar iwe huru (na kila inchi iwe na raisi wake).

Na baada ya inchi hizo kuwa huru (ifanywe mkataba wa undugu baina ya Tanganyika na Zanzibar). hakika akili ni nywele na wewe zako zimeishia hapo eti.
 
Mtoa post ni kipaji maalumu tutakupeleka kibaha secondary
 
Sio Jambo la ajabu Duniani. Kule kwenye visiwa vya Comoro kuna serikali ngapi??? Au kule ni nje ya Dunia??? Mimi nadhani ajabu ni kutumia kura mbili kwa wakati mmoja
 
utakuta mtu na akili zake kazaliwa miaka ya 1970s na kuendelea. eti analalamika ooo naitaka tanganyika yangu hv unajua neno tanganyika lilitokea wap?? nchi ya tanganyika ilidumu kwa muda gani?? pumbav wewe ni MTANZANIA .nukta.
 
Wewe ndio mbumbavu mmoja haujui hata Tanganyika ni wapi.
 
Kama tunavyo jua ndugu zangu wapendwa, Tanzania inataka kuunda serekali tatu,

1) Serekali ya Tanganyika
2) Serekali ya Zanzibar
3) Na Serekali ya Muungano.!

Tanzania itakuwa inchi ya kwanza duniani kufanya jambo hili la kiajabu (na inchi yenyewe ni maskini)

Niambieni jamani vipi inchi itaongozwa na Maraisi watatu (hii haiwezekani kabisa).

Hata katika meli rubani wake ni mmoja tu (ukiweka marubani watatu meli itazama tu).

Uwamuzi bora kabisa ni huu ufuatao; kila inchi ichukue Khamsini zake, Tanganyika iwe huru na Zanzibar iwe huru (na kila inchi iwe na raisi wake).

Na baada ya inchi hizo kuwa huru (ifanywe mkataba wa undugu baina ya Tanganyika na Zanzibar).

Wazn warud kwao watuachie tanganyika wakiondoka huku kisha wakawafukuze wale wa bara waliokua kule, hatuna hof kwa kua ni wachache.ila wao huku waondoke na kila kitu ispikua ardh yetu,mm nashangaa sana haya maviongoz wanaulinda muungano wa nn mamaee wakat watanganyka hawafaidik na kitu znz,hakuna chochote zaid ya UROJO, na mafuta lita5. Hata wao hawayatoshi,lowasa baba ingia madarakan uuvunje huu muungano ww ndo simba mtu,dunia ya sasa hakuna kitu bila mafanikio ,kila mtu lazma afanikiwe lkn SS. Tunawalisha hawa wauza UROJO bila ya ss kupata kitu nn maana yake??mana hata mzaz km anaona toto halina faida huwa analikatia Ada tu likafie huko
 
utakuta mtu na akili zake kazaliwa miaka ya 1970s na kuendelea. eti analalamika ooo naitaka tanganyika yangu hv unajua neno tanganyika lilitokea wap?? nchi ya tanganyika ilidumu kwa muda gani?? pumbav wewe ni MTANZANIA .nukta.

Hivi kila mwaka tarehe 9.12, unasherehekea Uhuru wa nchi gani? Tanzania haikupata Uhuru 9.12.1961 !!!!! Historia haifi, wala haifutiki!!!!!
 
Dual citizenship hamtaki, serikali tatu hamtaki , basi turudi serikali moja ndipo tutajua wenye uchungu na nchi hii hapo pia hamtaki so mnataka nini.
 
Kuna ubaya gani Tz kuwa ya kwanza kufanya jambo duniani!!!?
 
mrembo una mdomo mchafu,
sasa unadhan kutakuwa na marais wangapi kukiwa na sirikali tatu
 
usa kuna nch 50 na kila moja inayo serikali yake, na kuna federal goverment a.k.a serikal ya muungano. so hakuna cha ajabu, lbd kama unajipikilisha propaganda.
 
Kama tunavyo jua ndugu zangu wapendwa, Tanzania inataka kuunda serekali tatu,

1) Serekali ya Tanganyika
2) Serekali ya Zanzibar
3) Na Serekali ya Muungano.!

Tanzania itakuwa inchi ya kwanza duniani kufanya jambo hili la kiajabu (na inchi yenyewe ni maskini)

Niambieni jamani vipi inchi itaongozwa na Maraisi watatu (hii haiwezekani kabisa).

Hata katika meli rubani wake ni mmoja tu (ukiweka marubani watatu meli itazama tu).

Uwamuzi bora kabisa ni huu ufuatao; kila inchi ichukue Khamsini zake, Tanganyika iwe huru na Zanzibar iwe huru (na kila inchi iwe na raisi wake).

Na baada ya inchi hizo kuwa huru (ifanywe mkataba wa undugu baina ya Tanganyika na Zanzibar).

kule Marekan wapo marais 52. sema kule wanajulikana ni magavana. na kila nchi ina sheria zake ndan ya Marekan
 
utakuta mtu na akili zake kazaliwa miaka ya 1970s na kuendelea. eti analalamika ooo naitaka tanganyika yangu hv unajua neno tanganyika lilitokea wap?? nchi ya tanganyika ilidumu kwa muda gani?? pumbav wewe ni MTANZANIA .nukta.
Suala la kudai Tanganyika yetu halihusiani na tumezaliwa lini you idiot. Asili ya jina la nchi haimzuii mwananchi kudai nchi yake.

Huo muungano wenu wa kuwafaidisha Wapemba huku sisi tunaambulia matusi binafsi sina shida nao. Na siku nyingine usije na hoja za kujishaua km mtoto wa kike wa uswahilini wky watu wanadai Tanganyika yao
 
utakuta mtu na akili zake kazaliwa miaka ya 1970s na kuendelea. eti analalamika ooo naitaka tanganyika yangu hv unajua neno tanganyika lilitokea wap?? nchi ya tanganyika ilidumu kwa muda gani?? pumbav wewe ni MTANZANIA .nukta.

jenga hoja sio unabweka kama mbweha ovyo kwa kutukana...... Kama serikali mbili zenyewe zmekuwa shida je serikali tatu utawezea wapi? Acha ulevi
 
Back
Top Bottom