Maajabu ya Congo, maji hachangamani

Maajabu ya Congo, maji hachangamani

Basi Nenda

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2017
Posts
20,795
Reaction score
48,057
Hiyo ni mito miwili iliyopo Congo, inakutana ila maji yake hayachanganyiki,
ni mto Mayindombe na mto Kasai
hupeleka maji bahari ya Atlantic
 

Attachments

  • 61219904_1007941399398441_3055188203909677056_n.jpg
    61219904_1007941399398441_3055188203909677056_n.jpg
    60.7 KB · Views: 151
Sio ajabu ni kwamba maji ja kila mto yanakuja kwa kasi kwenye iyo point yanapokutania yanashidwa kujichanganya kwa sabavu ya kasi yake inaweza kujichukua mita 4 mpaka 5 kufikia seheme ambapo kasi yake itapungua na inyo maji kujichanganya.
 
hiyo ni mito miwili iliyopo kongo, inakutana ila maji yake hayachanganyiki,
ni mto mayindombe na mto kasai
hupeleka maji bahari ya atlantic na pacific

Atlantic na Pacific? Afrika hatuna Pacific kwenye pwani zetu. BTW, this is awesome phenomena!
 
Atlantic na Pacific? Afrika hatuna Pacific kwenye pwani zetu. BTW, this is awesome phenomena!
We muache atudanganye tu si katuona watoto sana?? nauku mm naelewa kabisa bahari iliyopo huo upande ni moja tu atlantic sana ww muache
 
We eography yako zero kabisa! Eti mto unaopita Kongo upeleke maji Pacific!! Unajua unachosema kweli??
hiyo ni mito miwili iliyopo kongo, inakutana ila maji yake hayachanganyiki,
ni mto mayindombe na mto kasai
hupeleka maji bahari ya atlantic na pacific
 
Back
Top Bottom