Maajabu ya Congo, maji hachangamani

Maajabu ya Congo, maji hachangamani

We eography yako zero kabisa! Eti mto unaopita Kongo upeleke maji Pacific!! Unajua unachosema kweli??
hata wewe badala ya kuandika GEOGRAPHY umeandika eography
unapaswa ujue katika ku type ni kawaida kukosea
 
Pamoja na kutawaliwa na jiwe na kupigika kimaisha, hatujavurugika ubongo kihivyo mpaka tuupokee Uzi huu namna ulivyoandikwa.
 
Hapo nahisi ni kwa sababu maji hayo yana speed tofauti kulingana na vyanzo
 
hii picha imepigwa mara moja tu maana haivutii sana, nimejaribu kusakanya kwingineko lkn naona hii tu
 
Back
Top Bottom