Maajabu ya bongo movie..

Movie mtu yuko kijijini ana wave na black.. Au dada anaenda kazini kavaa mavazi ya disco mpaka kero. Au mkaka anaenda kazini lakini kavaa nguo za rangi rangi utafikiri mwanamuziki anaenda kufanya show.. Kila mfanyabiashara anaongelea containers bandarini.. Mtu akiigiza fani ya mtu mfano uhasibu au udaktari haombi kupigwa msasa na wenye fani yao.

Nafikiri kwenye quality tunaweza jitetea gharama but basi hata userious kwenye kazi. Hili kwenye bongo movies silioni, naona ulipuaji tu wa kazi. Makosa kibao sio kwenye uigizaji wala kwenye subtitles wala kwenye editing.

Nawashauri bongo movie wawe serious na kazi hata kama quality ya picha sio nzuri sana at least content na flow ya matukio inaweza vutia wazalendo kuangalia.
 
Tatizo wanataka kuigiza maisha ambayo kiuhalisia hata wao hawajayaishi ndiyo maana wanapoteza uhalisia
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] hahahahaaa nimecheka sanaaaaaaaaaaa mkuuu
 
We jamaa umenichekesha mpaka basi.!
 
Mkuu asante kwa kuufanya usiku wangu kuwa wenye furaha maana nimecheka almanusura kutapika
 
Kukimbia lazima kuwekwe kwenye slow motion!!!
 
Kwani lazima kila mtu aanzishe thread ya aina hii kuhusu Bongo movie? Hiyo text inazunguka kuanzia mitandaoni... haina jipya.
 
Akili itumike asilimia kubwa bongo movies walipata sifuri darasani
 
bongo movie wapo tayari bajeti ya filamu 1...waigawanye ziwe filamu 10...
wataweza wapi hayo...matokeo yake wanatoa filamu kama magazeti ya kila wiki..!!.. ufanisi utatokea wapi..??..
 
Hawa wa kwetu wanawaza uchaguzi tu na kampen zake waje na misemo mama mkanye mwanao,maskin hawajui kilicho nyuma ya pazia sasa hakuma pa kula wamegeukia maandamano badala ya kufanya kazi,Hapa kazi tuuu
 
jini yupo porini anakwepa miiba.movie ina party 2 ya nusu saa tuu.camera zenyewe za kwenye harusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…