Maajabu ya Bernard Membe

Maajabu ya Bernard Membe

Mfumo wa CCM ni matatizo makubwa sana...
Viongozi wengi wamezaliwa ndani ya huo mfumo, unategemea kuna malaika atatoka kwenye kundi la mashetani.?...
Kiongozi gani hawezi hata kujieleza?...
Bogus
 
Pia kasema ataweka kamera katika maeneo muhimu kama mabenki kuzuia wizi. Wakati hela za ESCROW ziliibiwa mbele ya kamera za CCTV na yeye akiwa waziri mwandamizi. Poor Membe...?

Hahahahahhh...
nilicheka sana leo niliposikia huo upuuzi wake ktk taarifa ya habari.
 
Wenzake wanahimiza Watu waombee TAIFA ..yeye anasema Ana Baraka za mizimu? No wounder..

Duh huyu membe kaniacha hoi kuna watu wana ela za kuchezea huyu jamaa yupo weak ata kuongea tu hafai ata ubunge nazan walkosea kumpa huyu kuliko awe rais bora ata mrema wa TLP au Mtikila alafu anajidai kushndana na komred kama lowasa hivi kweli ata washauri wake hawamwelezi kua hamfkii lowasa ata 2% huyu size yake udiwan au u dc kama kna makonda. ...szan kama kuna mtu anamjua kijiji chochote nchini ata jimbon kwake si vyote...membe ur weak urais si size yako smamia biashara zako
 
anapenda mbeleko mwera yule! ila wenzie wamemtoa kafara nadhani sasa keshajua hanachke bwna bakari ndomana anatngatanga mara ntamuunga mkono mwandosya mara marko nawengine atawaunga miguu kabisa cos huu ni wehu we wataka urais kisa rais ndgu cjui jmaa yako.halafu alipo chekesha dunia aliposema atawwcha huru watoa rushwa duh! huyu kweli kajikaanga,mwaka huu tutaonamadudu tele
 
anapenda mbeleko mwera yule! ila wenzie wamemtoa kafara nadhani sasa keshajua hanachke bwna bakari ndomana anatngatanga mara ntamuunga mkono mwandosya mara marko nawengine atawaunga miguu kabisa cos huu ni wehu we wataka urais kisa rais ndgu cjui jmaa yako.halafu alipo chekesha dunia aliposema atawwcha huru watoa rushwa duh! huyu kweli kajikaanga,mwaka huu tutaonamadudu tele yawasindikizaji hawa
 
Uwaziri ingekuwa ni nafasi za ushindani (kwa Interview) tungepata walau watu wenye arguments za maana,
Nina uhakika arfguments kama hz hata katibu tarafa hawezi kuzitoa ni za kipuuzi mno!
 
Anadhani kwa vile Mkapa na Kikwete waliokuwa mawaziri wa mambo ya nje walipata urais, basi naye anashikilia karata dume!
 
Membe Mhuni
Sasa tuletee Maajabu ya Lowasa pia ili uonekane upo Huru
 
Mtuhumiwa wa Rushwa akishinda kesi, Membe atamwambia Hongera sana, japo kazi atamfukuza!
 
Kiukweli hizi kampeni za kutangaza nia zimeuanika udhaifu wa Membe.

Yaani anashindwa kabisa kujenga hoja
 
Si unafiki wala si ujasiri bali ni maradhi...maembe anaugua ugonjwa mbaya kabisa ugonjwa wa 'kufikirika' yaani kitu kisichowezekana au kisichopo unakifanya kipo au kinawezekana
 
Katika watu ambao hawana hoja ni Bakari a.k.a Membe, huwezi kuja na sababu kama hizo, .

Siku ya kwanza ya hotuba yake wakati anatangaza nia, watanzania walimuona hopeless, kujieleza kwenyewe hajui nchi ndiyo ataweza kuiongoza
 
mimi naona kuna tatizo la afya ya akili ya mh. Membe :shock::shock::shock:
 
Kwa kauli hizi za Membe ni dhahiri sasa watanzania wanahaki ya kuhoji uwaziri wa mambo ya nje aliupataje? ?
Hatufai kua rais akisimamisha mm nitahamia upinzani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom