Nilikuwa namtegemea huyu jamaa sana hasa kutokana na CV yake niliiona nzuri sana na vile vile alikuwa anajitahidi kuongea vizuri wakati akiwa waziri wa mambo ya nje ,,dahh lakini alipoongea kule Lindi yaani nilistaaajabuuuuuu khaaaa jibu rahisi ni alinikata stimu yaani simshabikii tena na vile vile muendelezo wake ndio vile vile ,,,mmh . Ila ukosefu wa internal political experience ndio umemponza anadhani kuwa Deputy DG wa TISS anajua Tz nzima na basi ungemsaidia kujenga hoja nzuri jukwaani naona alipania sana hadi akapanick au hawezi kujenga hoja majukwaani ....Anyway angepiga kimya tu kama Maghufuli akasubiri ilani .....Membe umeniangusha aiseee big time ....