Maajabu ya Bernard Membe

Maajabu ya Bernard Membe

Kiukweli hizi kampeni za kutangaza nia zimeuanika udhaifu wa Membe.

Yaani anashindwa kabisa kujenga hoja
Nadhani unamaanisha anashindwa kusema kile unachotaka kukisikia wewe..mind you huyu anataka kuwaongoza WaTanzania sio peke yako na ukisema ameshindwa kujenga hoja out of blue inadhihirisha unafiki wako
 
pia amesema ole wanaume walevi, na atawapa wanawake hela.
 
Wenzake wanahimiza Watu waombee TAIFA ..yeye anasema Ana Baraka za mizimu? No wounder..
Wewe ni mfuata mkumbo..mizimu ni asili yetu..Watanzania waishio vijijini bado wanafwanafanya matambiko.ni urithi wetu na ni asili yetu huwezi kukwepa..au kwa sababu tumeletewa dini na waarabu na wazungu ndio unaamini hizo ndio bora...kama wewe ungezaliwa India basi its likely ungekuwa unaabudu ng'ombe.. (get tid of the box and think freely)
 
Jamani bado ule muendelezo wa ahadi zisizotekelezeka zinaendelea. Mfano nitaweka round abouts kupunguzwa fole kweliiiiiii!
 
Hatuwezi kuongozwa na mizimu akae pembeni. Sisi sio idol worshipers
 
Ninakipongeza chama cha CCM kwa huu utaratibu wa kutangaza nia aisee tungejuaje kua tuna Waziri wa mambo ya nje ni kilaza namna hii. ??Aibu
 
Wewe ni mfuata mkumbo..mizimu ni asili yetu..Watanzania waishio vijijini bado wanafwanafanya matambiko.ni urithi wetu na ni asili yetu huwezi kukwepa..au kwa sababu tumeletewa dini na waarabu na wazungu ndio unaamini hizo ndio bora...kama wewe ungezaliwa India basi its likely ungekuwa unaabudu ng'ombe.. (get tid of the box and think freely)

Naona lukaminde pofu linakutoka kweli ...ndugu we mwaka tu mapofu yako huyo mtu hauziki kabisa...bungeni wapo kimya tukajua watu wa maana kumbe wanaficha madhaifu yao kwenye kujenga hoja.
 
Ninakipongeza chama cha CCM kwa huu utaratibu wa kutangaza nia aisee tungejuaje kua tuna Waziri wa mambo ya nje ni kilaza namna hii. ??Aibu

Mkuu bungeni wapo kimya tukajua watu wa maana kumbe wanaficha udhaifu wao kwenye kujenga hoja..ndo maana hii serikali imeyumba sana..hapo kanifanya nimkubali hata magufuli
 
suzan lema

Ataweza kumfunga mpwae wa madawa ya kulevya?Au ndiyo plot za mafuta na ges Mtwara zitauzwa zote kwa kuserve kichwa cha MPWA?
 
Last edited by a moderator:
Naona mnaocomment mnajifanya great thnkers but truth is wote mamburulaz le akili ndogos wa kufuata mkumbo. Mnajudge entire career ya mtu kwa statement tano.

Hivi hamjui chama ndiyo kina sera na sio mgombea. So hao wengine wanaoongea mnavyodhani vya maana ndiyo hawana kitu kwa sababu mwisho wa siku hawatatekeleza chochote.

Pili wazungu wanasema all publicity is good publicity, huyu jamaa ni mwanasiasi and he made it to foreign affairs minister anajua ni nini anakifanya. Hata kama mtasema kabebwa basi alijua jinsi ya kubebeka manake hiyo pia inahitaji le akili kubwaz na sio kama ambazo naziona hapa. By making those remarks like those which if analyzed well membe is gaining, he is gaining by coming relevant, people talk about him, watakaotumwa kuandika viBlog post vya ajabu kama hivi waandike ila at the end of the day membe atawakaa akilini.

The finaly akishawakaa akilini mtataka kusikia ataongea nini next, na ninavyoona kashatukaa akilini manake kila siku membe this membe that. Then ndio aanze kujenga hoja za msingi ambazo kama angeziongea mwanzo msinge pay attention kwa sababu mlikua hamjui membe ni nani. Hapo ndo mtaanza kusema kumbe jamaa ana akili.
 
Wewe ni mfuata mkumbo..mizimu ni asili yetu..Watanzania waishio vijijini bado wanafwanafanya matambiko.ni urithi wetu na ni asili yetu huwezi kukwepa..au kwa sababu tumeletewa dini na waarabu na wazungu ndio unaamini hizo ndio bora...kama wewe ungezaliwa India basi its likely ungekuwa unaabudu ng'ombe.. (get tid of the box and think freely)

Hebu tupisheni huko na matambiko yenu na mizimu yetu mkaifanyie huko huko sio kupeleka mahali patakatifu. Hatuwezi endeasha nchi kwa mambo yenu primitive. Sio ikulu
 
suzan lema

Mbona husemi kama atahakikisha ujambazi unakwisha! Mbona husemi alichosema juu ya kufufua viwanda vilivyokufa! Na kuanzisha vipya! Mbona husemi juu ya alivyosema juu ya kilimo, atasimamia kilimo kiwe cha kisasa na mengine mengi. Mlizoea magumashi wizi wizi kukwepakwepa kodi, rushwa, ufisadi, utapeli na yote ya aina hiyo. Mtaisoma namba mwaka huu. Na kule kote mlikojazana kindugu na kikabila kutafumuliwa.TAKE NOTE ON THIS. Hilo mnalijua ndiyo maana mnaleta maneno ya kashfa. Si kitu Julai itafika na mwezi Oktob utafika. Umetoa maajabu ya Membe tuwekee na ya huyo aliyekutuma au ndiyo ushakuwa kipofu na kiziwi kwa aliyekutuma.
 
Last edited by a moderator:
Poor Tanzania kila mtu anaweza kuchukua form ya urais hata kama ni kiongoz mbovu au fisadi
 
Hebu tupisheni huko na matambiko yenu na mizimu yetu mkaifanyie huko huko sio kupeleka mahali patakatifu. Hatuwezi endeasha nchi kwa mambo yenu primitive. Sio ikulu
sasa wewe unataka rais awe kadinali Pengo au Mufti? Serikali haina dini. na sio kila mtu anaabudu kwa imani yako, Tanzania ina Watanzania karibu milioni 50 na kila mtu ana uhuru wake wa kuabudu.
 
Membe hafai kua rais hana sifa. Apishe wenye sifa
 
Kati ya watia nia wasio na uwezo n Bernard membe , ikitokea huyu akapita CCM itaangukia pua
 
Naona mnaocomment mnajifanya great thnkers but truth is wote mamburulaz le akili ndogos wa kufuata mkumbo. Mnajudge entire career ya mtu kwa statement tano.

Hivi hamjui chama ndiyo kina sera na sio mgombea. So hao wengine wanaoongea mnavyodhani vya maana ndiyo hawana kitu kwa sababu mwisho wa siku hawatatekeleza chochote.

Pili wazungu wanasema all publicity is good publicity, huyu jamaa ni mwanasiasi and he made it to foreign affairs minister anajua ni nini anakifanya. Hata kama mtasema kabebwa basi alijua jinsi ya kubebeka manake hiyo pia inahitaji le akili kubwaz na sio kama ambazo naziona hapa. By making those remarks like those which if analyzed well membe is gaining, he is gaining by coming relevant, people talk about him, watakaotumwa kuandika viBlog post vya ajabu kama hivi waandike ila at the end of the day membe atawakaa akilini.

The finaly akishawakaa akilini mtataka kusikia ataongea nini next, na ninavyoona kashatukaa akilini manake kila siku membe this membe that. Then ndio aanze kujenga hoja za msingi ambazo kama angeziongea mwanzo msinge pay attention kwa sababu mlikua hamjui membe ni nani. Hapo ndo mtaanza kusema kumbe jamaa ana akili.

rekebisha hapo..SEMA AMEKUKAA AKILINI MWAKO TUTUSA WEE.
 
Nadhani unamaanisha anashindwa kusema kile unachotaka kukisikia wewe..mind you huyu anataka kuwaongoza WaTanzania sio peke yako na ukisema ameshindwa kujenga hoja out of blue inadhihirisha unafiki wako

Usitoe povu mkuu,huo ndio ukweli hata wewe unajua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom