TBA majengo yataanguka time will tell for maghorofa!Namba 1.
Consultant -TBA
Contractor- TBA
Namba 2
Consultant- NHC
Contractor- NHC
Client -NHC
Namba 3
Consultant -Tanroads
Client- Tanroads
Na mengine mtaongezea, Ila ukweli tunaibiwa.
Nimecheka sana. Basi na magari tutengeneze wenyewe manake serikali huko nako inapoteza fedha nyingi!sijawahi kuona, huwezi kuwa kujisimamia mwenyewe labda banda LA kuku
Mbona kama unajikuna mwenyewe kaka. Hayo ndio maajabu. Kazi IPO. Unatetea wapiga dili nini. Ghorofa la floor NNE mnapiga being ya 5-10 billion sasa mtajenga mawili ama matatu. Majengo yote ya zamani yaliyodumu miaka 50 hadi 100 consultancy na contractor alikuwa nani. Mliua taasisi za umma muingize ubinafsi wenu kupitia kampuni zenu. Mtaelewa tu.Namba 1.
Consultant -TBA
Contractor- TBA
Namba 2
Consultant- NHC
Contractor- NHC
Client -NHC
Namba 3
Consultant -Tanroads
Client- Tanroads
Na mengine mtaongezea, Ila ukweli tunaibiwa.
mkuu swala sio kubana matumizi bali ni kufuata sheria na taratibuMbona kama unajikuna mwenyewe kaka. Hayo ndio maajabu. Kazi IPO. Unatetea wapiga dili nini. Ghorofa la floor NNE mnapiga being ya 5-10 billion sasa mtajenga mawili ama matatu. Majengo yote ya zamani yaliyodumu miaka 50 hadi 100 consultancy na contractor alikuwa nani. Mliua taasisi za umma muingize ubinafsi wenu kupitia kampuni zenu. Mtaelewa tu.
Mbona kama unajikuna mwenyewe kaka. Hayo ndio maajabu. Kazi IPO. Unatetea wapiga dili nini. Ghorofa la floor NNE mnapiga being ya 5-10 billion sasa mtajenga mawili ama matatu. Majengo yote ya zamani yaliyodumu miaka 50 hadi 100 consultancy na contractor alikuwa nani. Mliua taasisi za umma muingize ubinafsi wenu kupitia kampuni zenu. Mtaelewa tu.