Chum Chang
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 999
- 272
Kwanini kila jambo mnamsingizia mungu?? Kweni hayo majanga shetani hawezi yafanya. Acheni ujuha wa kumsingizia Mungu kila janga, mengine tunayadababisha sisi wenyewe kwa umbumbumbu wetu.
kama ni juha ni wewe shetani hawezi fanya bila mungu binfsi shetani pia ameumbwa na mungu jipe moyo lakini fahamu dunia ni njia tu.
Angekuwa ni shehe ndo amezama wala kusingekuja kuanzisha thread kama hii.
Mambo ya kuvumisha eti uwezo wa allah kitoto cha miezi 7 eti kimekutwa kinapiga adhana,mara misri joka kubwa la limeuliwa kumbe kazi ya adobe,mara farao/firauni allah hamuozeshi mpaka leo ili amuumbue kwenye kizazi kipya wamuone.Mambo yenu yakupiga promotion kwenye hiyo dini ndo yanatufikisha hadi watoto wanakojolea vitabu vya mungu kupima huo uvumi wenu.Huwa nashangazwa sana eti mtu anatenda jambo la kumchokoza Mungu kama ile movie ya kumkashifu mtume wenu kabla msubiri Mungu ajibu mapigo mnaingilia kati kumsaidia Mungu wenu.Je mmejiuliza kwa nini Mungu aliweka moto/jahanam tambueni hivi jahanamu ipo kwa wenye dhambi tangu dunia kuumbwa hadi wadhambi wa leo so swala kuhukumu lipo mikononi mwa Mungu wala sio kwa binadamu.
Matendo na mafunzo mengine yatolewayo na baadhi ya waislamu yanapelekea kuudhalilisha uislamu hadi tunakosa kuvutiwa kuingia kwenye dini hii ambayo imekuwa chanzo cha vurugu na mauaji yatokeayo pande mbalimbali za dunia zenye uwepo wa watu wa dini hii.
Mods sina nia mbaya ila katika hali ya kuelimishana nimeguswa kuandika haya.
MUNGU MPENDA AMANI AWABARIKI SANA(kama we ni mpenda amani sema ameeen....kiroho safi kwani shii ngapi?)
yes man!u have made my day.Thankx GodMambo ya Mungu hayo!! Anayebisha atuambie ni kwa nini hili Shimo litokee chumbani kwake tena akiwepo peke yake na si mahali pengine?? Mwacheni Mungu aitwe Mungu!!
ndugu yangu rais wetu,viongozi wa serikali,viongozi wa dini zetu zote wametuasa tuache udini.wewe bado huwezi kuchangia bila kuweka udini?ulaaniwe wewe na sh.ILUNGAAngekuwa ni shehe ndo amezama wala kusingekuja kuanzisha thread kama hii.
Mambo ya kuvumisha eti uwezo wa allah kitoto cha miezi 7 eti kimekutwa kinapiga adhana,mara misri joka kubwa la limeuliwa kumbe kazi ya adobe,mara farao/firauni allah hamuozeshi mpaka leo ili amuumbue kwenye kizazi kipya wamuone.Mambo yenu yakupiga promotion kwenye hiyo dini ndo yanatufikisha hadi watoto wanakojolea vitabu vya mungu kupima huo uvumi wenu.Huwa nashangazwa sana eti mtu anatenda jambo la kumchokoza Mungu kama ile movie ya kumkashifu mtume wenu kabla msubiri Mungu ajibu mapigo mnaingilia kati kumsaidia Mungu wenu.Je mmejiuliza kwa nini Mungu aliweka moto/jahanam tambueni hivi jahanamu ipo kwa wenye dhambi tangu dunia kuumbwa hadi wadhambi wa leo so swala kuhukumu lipo mikononi mwa Mungu wala sio kwa binadamu.
Matendo na mafunzo mengine yatolewayo na baadhi ya waislamu yanapelekea kuudhalilisha uislamu hadi tunakosa kuvutiwa kuingia kwenye dini hii ambayo imekuwa chanzo cha vurugu na mauaji yatokeayo pande mbalimbali za dunia zenye uwepo wa watu wa dini hii.
Mods sina nia mbaya ila katika hali ya kuelimishana nimeguswa kuandika haya.
MUNGU MPENDA AMANI AWABARIKI SANA(kama we ni mpenda amani sema ameeen....kiroho safi kwani shii ngapi?)
ndugu yangu rais wetu,viongozi wa serikali,viongozi wa dini zetu zote wametuasa tuache udini.wewe bado huwezi kuchangia bila kuweka udini?ulaaniwe w.e.we na sh.I.LU.NG.AAngekuwa ni shehe ndo amezama wala kusingekuja kuanzisha thread kama hii.
Mambo ya kuvumisha eti uwezo wa allah kitoto cha miezi 7 eti kimekutwa kinapiga adhana,mara misri joka kubwa la limeuliwa kumbe kazi ya adobe,mara farao/firauni allah hamuozeshi mpaka leo ili amuumbue kwenye kizazi kipya wamuone.Mambo yenu yakupiga promotion kwenye hiyo dini ndo yanatufikisha hadi watoto wanakojolea vitabu vya mungu kupima huo uvumi wenu.Huwa nashangazwa sana eti mtu anatenda jambo la kumchokoza Mungu kama ile movie ya kumkashifu mtume wenu kabla msubiri Mungu ajibu mapigo mnaingilia kati kumsaidia Mungu wenu.Je mmejiuliza kwa nini Mungu aliweka moto/jahanam tambueni hivi jahanamu ipo kwa wenye dhambi tangu dunia kuumbwa hadi wadhambi wa leo so swala kuhukumu lipo mikononi mwa Mungu wala sio kwa binadamu.
Matendo na mafunzo mengine yatolewayo na baadhi ya waislamu yanapelekea kuudhalilisha uislamu hadi tunakosa kuvutiwa kuingia kwenye dini hii ambayo imekuwa chanzo cha vurugu na mauaji yatokeayo pande mbalimbali za dunia zenye uwepo wa watu wa dini hii.
Mods sina nia mbaya ila katika hali ya kuelimishana nimeguswa kuandika haya.
MUNGU MPENDA AMANI AWABARIKI SANA(kama we ni mpenda amani sema ameeen....kiroho safi kwani shii ngapi?)
ndugu yangu rais wetu,viongozi wa serikali,viongozi wa dini zetu zote wametuasa tuache udini.wewe bado huwezi kuchangia bila kuweka udini?ulaaniwe w.e.we na sh.I.LU.NG.A
kila kitu tukimuachia Mungu mwishowe naye atatushangaa maana alivyomuumba binadamu alimpa akili ili azitumie na sio kukaa tu na kuangalia. Ndio maana magonjwa yapo lakini binadamu wana akili ya kutafuta dawa, njaa ipo wana akili ya kutafuta chakula nk.Allah is great!
kila kitu tukimuachia Mungu mwishowe naye atatushangaa maana alivyomuumba binadamu alimpa akili ili azitumie na sio kukaa tu na kuangalia. Ndio maana magonjwa yapo lakini binadamu wana akili ya kutafuta dawa, njaa ipo wana akili ya kutafuta chakula nk.
Laana yako ikurudie kwa nyuma huko.
Usinichanganye na huyo mburura bora ungenipa laana yangu mwenyewe private.