MSAGA SUMU JF-Expert Member Joined May 25, 2015 Posts 6,719 Reaction score 21,951 Jul 20, 2021 #1 Maajabu hayaishi duniani,ona hii ya TTF.
H havanna JF-Expert Member Joined Sep 17, 2016 Posts 2,506 Reaction score 2,745 Jul 20, 2021 #2 Karia .ni tapeli kama matapeli wengine, hamna kitu eti anapita bila kupigwa au aliogopa ushindani tu
C Cytotoxic JF-Expert Member Joined Apr 14, 2020 Posts 267 Reaction score 324 Jul 20, 2021 #3 havanna said: Karia .ni tapeli kama matapeli wengine, hamna kitu eti anapita bila kupigwa au aliogopa ushindani tu Click to expand... ... Tff matapeli sanaaa. Huyo mdeni amejaribu njia zote za kistaarabu za kukumbushia deni lake lakini jamaa wanampiga chenga za mwili. Mara hawapokei, hawajibu Meseji, hawaruhusu mdeni kumwona KARIA(koo) na kadhalika. Waumbuliwe tuu
havanna said: Karia .ni tapeli kama matapeli wengine, hamna kitu eti anapita bila kupigwa au aliogopa ushindani tu Click to expand... ... Tff matapeli sanaaa. Huyo mdeni amejaribu njia zote za kistaarabu za kukumbushia deni lake lakini jamaa wanampiga chenga za mwili. Mara hawapokei, hawajibu Meseji, hawaruhusu mdeni kumwona KARIA(koo) na kadhalika. Waumbuliwe tuu
Mnyuke Jr JF-Expert Member Joined Jul 3, 2021 Posts 4,499 Reaction score 6,459 Jul 20, 2021 #4 Hilo mbona halina shida mkuu, Simba SC itaisaidia TFF kulipa hilo deni
sikongefdc JF-Expert Member Joined Oct 18, 2017 Posts 1,610 Reaction score 2,158 Jul 21, 2021 #5 Insigne said: Hilo mbona halina shida mkuu, Simba SC itaisaidia TFF kulipa hilo deni Click to expand... mwamedi bado hajaweka billion 20, na inasemekana haweki mpaka kieleweke
Insigne said: Hilo mbona halina shida mkuu, Simba SC itaisaidia TFF kulipa hilo deni Click to expand... mwamedi bado hajaweka billion 20, na inasemekana haweki mpaka kieleweke
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,575 Reaction score 55,141 Jul 21, 2021 #6 sikongefdc said: mwamedi bado hajaweka billion 20, na inasemekana haweki mpaka kieleweke Click to expand... Haiwekwi yote kwa mara 1
sikongefdc said: mwamedi bado hajaweka billion 20, na inasemekana haweki mpaka kieleweke Click to expand... Haiwekwi yote kwa mara 1
K kyata JF-Expert Member Joined Jun 20, 2015 Posts 2,533 Reaction score 2,501 Jul 21, 2021 #7 Mtoto halali na hela said: Haiwekwi yote kwa mara 1 Click to expand... Kwa hiyo Hadi Sasa kaweka bi ngapi na bado bi ngapi mkuu
Mtoto halali na hela said: Haiwekwi yote kwa mara 1 Click to expand... Kwa hiyo Hadi Sasa kaweka bi ngapi na bado bi ngapi mkuu
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,575 Reaction score 55,141 Jul 21, 2021 #8 kyata said: Kwa hiyo Hadi Sasa kaweka bi ngapi na bado bi ngapi mkuu Click to expand... Zaidi ya B12
K kyata JF-Expert Member Joined Jun 20, 2015 Posts 2,533 Reaction score 2,501 Jul 21, 2021 #9 Mtoto halali na hela said: Zaidi ya B12 Click to expand... Okay sikuwa aware na hilo
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 45,977 Reaction score 136,761 Jul 21, 2021 #10 Naona jamaa kaona bora tu ajilipue baada ya kuona wakina Karia wanaleta uswahili wa kumtaka kumzika deni lake! Najua baada ya kulipwa hiyo fedha, ndiyo basi tena! Ulaji kupitia Tff atausikia tu kwa majirani. Ila milioni 76 usawa huu, si haba!!
Naona jamaa kaona bora tu ajilipue baada ya kuona wakina Karia wanaleta uswahili wa kumtaka kumzika deni lake! Najua baada ya kulipwa hiyo fedha, ndiyo basi tena! Ulaji kupitia Tff atausikia tu kwa majirani. Ila milioni 76 usawa huu, si haba!!