Maajabu; Pundamilia ampanda Twiga

Maajabu; Pundamilia ampanda Twiga

Watu8

Platinum Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
77,338
Reaction score
111,580
Very-Funny-Moments-With-Animals-In-Action-13.jpg
 
Mwana hebu cheki hawa majangili wako pande gani watatumaliza!
 
Hivi zebra kwa wastani huwa na kilo ngapi?

Sent from my GT-P7500 using Tapatalk 2
 
Si maajabu. Hawa jamaa inaonekana ni maswahiba wanaosaidiana kila mtu kwa nafasi yake. Huenda kuna uhaba wa chakula hivyo twiga anampa kampani rafiki yake lao ayafikie majani na kujishibisha. Inapendeza sana. Wakati binadamu tunauawana wanyama wanaokoana.
 
Ni urafiki baina yao hususani kuangalia maadui umbali walipo.....
 
Tembo na Faru wamewaajiri ili kuongeza Ulinzi dhidi ya KI-NA-NA na washirika wake..
 
Back
Top Bottom