Maajabu; Pundamilia ampanda Twiga

Hivi zebra kwa wastani huwa na kilo ngapi?

Sent from my GT-P7500 using Tapatalk 2
Uzito wa zebra aliyekomaa ni kati ya kilo 250 na400, shingo ya twiga haiwezi kustahimili uzito huo.
Hii ni photoshop. Ipo nyingine shingoni kwa twiga yuko simba badala ya zebra.
 
Hao ni moja ya wanyama ambao huwezi kuta wamekonda hata kama polini kuna ukame

Sent from my GT-S5570 using Tapatalk 2
 
Huyu punda milia pale pa kufanyia matusi hajapaona? au anadhani atakutana na pengine patamu zaidi huko juu?
Very-Funny-Moments-With-Animals-In-Action-13.jpg
 
Uzito wa zebra aliyekomaa ni kati ya kilo 250 na400, shingo ya twiga haiwezi kustahimili uzito huo.
Hii ni photoshop. Ipo nyingine shingoni kwa twiga yuko simba badala ya zebra.

Kweli hii ni photoshop! Angalia mguu wa mbele wa kulia wa Punda ulivyopachikwa kisanii, na mguu wa mbele kushoto isingewezekana kufichwa na shingo ya Twiga!
 
Au ndo tuseme yule babu Muka.. waliyemtelemsha cheo alikuwa anawasafirisha sana hawa ndugu Uarabuni na Ulaya na sasa wana wasiwasi kwa huyu bwana Kina.. ndo maana wameona waanzishe ulinzi shirikishi ili waweze kumuona hata akiwa mbali?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom