Ahaaaaaa....Kwahiyo anasimamia ukucha au siyo?Kingine hujamalizia mkuu..fisi hutembea na kusimama kwa miguu miwili kama. Binadamu kwa muda kadhaa..unaweza ukapishana nae kama MSHIKAJI FLAN HIVI kachill sehem..kasimama kumbe FISI
Jaribu kuingia anga zake utajuaMbona wanadamu wanamsifu fisi kwa uoga, vp leo tunasema wapo ngangari
Ukiwachokoza masikani yaoMbona wanadamu wanamsifu fisi kwa uoga, vp leo tunasema wapo ngangari
Fisi ni habari nyingine atiNadhani Atalia kilio cha paka mwizi..ahaaaaaa
HahahahahaYaani umeandika kipropaganda kama vile na wewe unatamani kuwa fisi!
Thread imeandikwa kwa staili ya ucheshi nami nimecheka sana!Nimeisoma huku nacheka hongera
Tuko pamojaAsante kwa pongezi zako