Maajabu na vituko vya mnyama fisi

Maajabu na vituko vya mnyama fisi

Dah huyu fisi sijui anamaanisha nini "kula huku anacheka cheka''
 
Ahaaaa.....mkuu si unajua tena fisi mishe Moshe zake
Mkuu article Babkubwa, Hahahahahahahaaaaa niliona moja LinkedIn jamaa Anasema defence force yao sio ya Kitoto, mbele kabisaaaa unaambiwa wanatangulizwa Sijui Wazee wale na Watoto, Katikati kuna FFU na Wale Wajeshi wanakua Mwisho kabisaaaa. Ngoja nitafute ile picha kama nitaweza kuikopi niitupie humu
 
Hiyo namba vii (8) umesema anapenda kung'ang'ania madaraka au mie sijaelewa, alafu ile ya kuufukuza mkia wake kwa kuuzunguka kama chizi fulani hivi mbona hujaeleza.
 
Mkuu article Babkubwa, Hahahahahahahaaaaa niliona moja LinkedIn jamaa Anasema defence force yao sio ya Kitoto, mbele kabisaaaa unaambiwa wanatangulizwa Sijui Wazee wale na Watoto, Katikati kuna FFU na Wale Wajeshi wanakua Mwisho kabisaaaa. Ngoja nitafute ile picha kama nitaweza kuikopi niitupie humu
Sorry hawa ni Fox sio Hyena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom