Hahaa,ha umenikumbusha wale waganga,njaaKwanini mkuu..?
Yaani umeandika kipropaganda kama vile na wewe unatamani kuwa fisi!
yaaaan mbwembwe nyingiii hahaha ila iko poa haichoshi kusomaNadhani mwandishi kashindwa kutofautisha kati ya Mbwa mwitu na FisiMbona wanadamu wanamsifu fisi kwa uoga, vp leo tunasema wapo ngangari
Hao wapo ila sema ni kitengo kinchohitaji Maelezo ya kina kutoka kwa mkuu mshana jr , kama Vip ngoja tu "cc" ujumbe huu.Vp kuhusu fisi watu? wale wa kishilikina
Hyena=fisi, fox=mbweha, wild dog/wolf=mbwa mwituHyena= Fisi, Fox= Mbwa mwitu
Nalimhola sana nkoyi.Yeeeh neyo bhabhehii kashinaga tuli bhinge shinisho o ngw'enumu?Naliho nkoyi nene Shimba ya Buyenze ntemi ntale Ontuzu, ng'weli, dakama na shashi. Ulimhola namhala wane?
Utauza mpaka ujiuzeFuvu la kichwa chake nasikia kina mvuto wa biashara. Yani kama una duka lile fuvu linakaushwa vizuri unalitafutia engo ndani ya duka unaliweka. Utauza mpaka ushindwe wewe

Sungura ni ujanja wa vitabuni tu....hana kitu mkuu...hata vitabu vinasema SUNGURA KIBOKO YAKE JOGOOSungura kiboko yao