Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,149
- 14,488
Hizi ni ishara za kuwa na watu waliovimbewa na kujiona wanaweza kutuwekea vigezo vya uongozi kulingana na sifa za wanafamilia wao. Hivi kweli Mtunga sera, mchambuzi wa maswala ya kijamii na mtetezi wa katiba ya nchi awe anajua kusoma na kuandika pekee huku Karani mwongoza wapiga kura awe na cheti Cha kidato Cha nne pamoja na sifa za ziada za kuwa mtiifu, mwaminifu na mwenye akili timamu?
Diwani ambaye ndiye mwenyekiti wa vikao vya maendeleo vya kata WADC sifa zake ziwe kujua kusoma na kuandika pekee huku, mfanya usafi wa ofisi ya mkuu wa wilaya akitakiwa kuwa na elimu angalau kidato Cha nne asee haya ni maajabu

mkuu acha kusahangaa.