goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,156
Kwa macho hayo hakika nimeogopa mno.... [emoji87] [emoji85]
Kwa macho hayo hakika nimeogopa mno.... [emoji87] [emoji85]
Kaona sura ya PAKA, kaona pussy!
hhhh kabisaaaaa!!!!Chakula cha macho kuona
Kimehamia Lugoba karibu na sekondariHalafu hichi kitoto nakifaham kipo chalinze
Mbwa huwa na uwezo wa kuhisi hisia za mtu kama ana huzuni,Furaha na pia ana uwezo wa pekee kuona ama kuhisi nguvu za giza
Kwani huyu dada kamuonesha nini huyu umbwa
Mbona mi nmekutana nacho uku tandikaKimehamia Lugoba karibu na sekondari
Kwakua ni Mpare mwenziohahahhah mbona "umbwa" hahahahahah mshana bwana, huwa nikiona siledi zako siwezi kupita bila kufungua