Weka vyetiHivi huyu jamaa ni mganga au mchawi maana nimekuwa nikipitia post zake nyingi , yaani ni mambo ya elimu dunia tu,
Japo nyingine zinafundisha na nyingine vijui ,,ila pia nachokiona anajaribu kuonyesha mila za waafrika walipo toka na jinsi walivyo weza kupambana na mazingira yao kwakutumia imani zao hizi,
Ila swali langu sasa ni kwamba je huyu mshana jr, ni mganga au mchawi?
Weka vyako kwanza, unachokoza eeh , utalala kwa tabu shauri yako , huu sio moto wakupuliza
Weka vyako kwanza, unachokoza eeh , utalala kwa tabu shauri yako , huu sio moto wakupuliza
Cha kukuchekesha nini sasa au na wewe huna cheti, tuanze na wewe kukutumbua hayo macho
Naomba nikuonyeshe changuCha kukuchekesha nini sasa au na wewe huna cheti, tuanze na wewe kukutumbua hayo macho
Kwa hiyo mavuzi hayana tatizo yakigusana na mavuzi ya wenzetu wengine
Wewe tekeleza jukumu lako kwa wakati wako, alafu sikilizia na upande mwingine unavyo kuja na.majibu hatari,Naomba nikuonyeshe changu
Nawe andaa chako Je uko tayar
Sent from my itel it1355 using JamiiForums mobile app
Nimepata tetesi kwamba umekodishwa kuanzisah nyuzi za kutisha ili kuwasahaulisha watu na suala la vyeti vya mtu, je tetesi hizi ni kweli...!!?? Kama siyo kweli hebu toa maelezo kidogo kuhusu uhalali wa mtu kulipwa mshahara au kuapa kwa jina la mtu mwingine...!!@Mshana

Ndio maana mapepo hayawaishiWadada wapenda wigi sijui brazilian wenyewe wanasema original,haijalishi kuwa mtu yupo hai au marehem as long as unatumia nywele zake ujue tu una shida
Watakuja tu kuelewa siku moja!bora uwaambie mana nikisema mimi utasikia oooh mabahili upend kumtunza mpenzi wako kumbe na epuka mambo kama haya nampenda ndo mana mambo ya mawig wig haya hakuna
ila mkuu kuna wanawake wengine manunda ukimwambia ivyo anakwambia sio mbaya akapata majini ya kizungu
We unaisi zilinyolewa kwaniniNywele zinatumika sn kwny giza pia,madhabahu za kifamilia nako ni balaa ,waambie hivi wawaulize mama/bibi zao walipowanyoa nywele za uchanga walizipeleka wapi?
![]()
![]()
Senkyu saa
kama zinaendelea kukua mbona kuna yale mafuvu yakifukuliwa bahati mbaya huwa vipara tu?
nilitegemea nione na nywele nyingi kinoma,,
sasa huwa zinaenda wapi?

eti kichaa akinyolewa ana kuwa na nafuu
