Maajabu haya ya nywele

Maajabu haya ya nywele

Habarini za asubuhi watukuka wa JF
Leo sijatupia mida ya wanga sikupenda kuwaogopesha wale wapendwa wangu
Maajabu haya ya nywele! Usipeleke mawazo yako kwenye yale majina yake kwamba zote ni nywele lakini zinatofautiana majina kutokana na mahali zilipo(ota)
Maajabu ya nywele ninayotaka kuzungumzia ni haya
-akili hulinganishwa na nywele kwenye muktadha wa methali za kiswahili
-nywele hutumika kama malighafi bora kabisa kwenye ulimwengu wa giza
-nywele huendelea kuota kwa muda fulani hata baada ya mwili kufa
-nywele hubaki bila kuharibika hata baada ya mwili kuoza kabisa
-rohochafu mapepo hata baadhi ya majini hupenda kukaa kwenye nywele ndio maana baadhi ya vichaa wakinyolewa tu hupata nafuu
Kwa akina dada zangu unapovaa wigi halisi la nywele za mtu unabeba usisoyajua hasa kama mwenyewe keshatangulia kaburini
mkuu ongezea maelezo mengine ya kutisha kuhusiana na hizi nywele za kununua ili hao wanao tumia waogope kutwambia tuwanunulie.

~Nimetumwa na wanaume wasiopenda ujinga.
 
Habarini za asubuhi watukuka wa JF
Leo sijatupia mida ya wanga sikupenda kuwaogopesha wale wapendwa wangu
Maajabu haya ya nywele! Usipeleke mawazo yako kwenye yale majina yake kwamba zote ni nywele lakini zinatofautiana majina kutokana na mahali zilipo(ota)
Maajabu ya nywele ninayotaka kuzungumzia ni haya
-akili hulinganishwa na nywele kwenye muktadha wa methali za kiswahili
-nywele hutumika kama malighafi bora kabisa kwenye ulimwengu wa giza
-nywele huendelea kuota kwa muda fulani hata baada ya mwili kufa
-nywele hubaki bila kuharibika hata baada ya mwili kuoza kabisa
-rohochafu mapepo hata baadhi ya majini hupenda kukaa kwenye nywele ndio maana baadhi ya vichaa wakinyolewa tu hupata nafuu
Kwa akina dada zangu unapovaa wigi halisi la nywele za mtu unabeba usisoyajua hasa kama mwenyewe keshatangulia kaburini
Kazi IPO unakuta MTU anakaa na nywele miezi 3 sasa kwann majin yasikufuate huko
 
Hizi mambo zipo Africa tuu!!
huko asia na Brazil ni biashara kufuga zikiwa ndefu unaziuza unafuga tena
Ni kama biashara ya kuku wa mayai tuu!
 
Habarini za asubuhi watukuka wa JF
Leo sijatupia mida ya wanga sikupenda kuwaogopesha wale wapendwa wangu
Maajabu haya ya nywele! Usipeleke mawazo yako kwenye yale majina yake kwamba zote ni nywele lakini zinatofautiana majina kutokana na mahali zilipo(ota)
Maajabu ya nywele ninayotaka kuzungumzia ni haya
-akili hulinganishwa na nywele kwenye muktadha wa methali za kiswahili
-nywele hutumika kama malighafi bora kabisa kwenye ulimwengu wa giza
-nywele huendelea kuota kwa muda fulani hata baada ya mwili kufa
-nywele hubaki bila kuharibika hata baada ya mwili kuoza kabisa
-rohochafu mapepo hata baadhi ya majini hupenda kukaa kwenye nywele ndio maana baadhi ya vichaa wakinyolewa tu hupata nafuu
Kwa akina dada zangu unapovaa wigi halisi la nywele za mtu unabeba usisoyajua hasa kama mwenyewe keshatangulia kaburini
Uwiiiiiiiii wigi zile human hair bei yake pasua kichwa kumbe tunajialikia matatizo wenyewe kwa bei kuubwaaaa... Heri dread
 
Wanyumbani leo lusekelo bado yupo kichwani hakika, maana hii mada kama ya kichochezi vile.
Hebu ngoja nizimue nakuja. Usisahau kuniita nikisahau.
 
Kwa mantiki ya hiyo point ya mwisho..Kuna watu humu jf wanahitaji kunyolewa nywele
 
Mkuu huu uzi umenikimbusha mbali.Enzi hizo nilikuwa siwezi kuandika nywele naandika "nyele"! Utoto raha.
 
kweli kazi ipo zote hizi ni njia za kuwahimiza mpunguze mizinga ya saloon ila hamtuelewiii
 
Wanyumbani leo lusekelo bado yupo kichwani hakika, maana hii mada kama ya kichochezi vile.
Hebu ngoja nizimue nakuja. Usisahau kuniita nikisahau.
Kanywe ledi bluu medulla itakaa Sawa
 
Back
Top Bottom