Maajabu haya ya nywele

Maajabu haya ya nywele

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,246
Reaction score
829,274
Habarini za asubuhi watukuka wa JF
Leo sijatupia mida ya wanga sikupenda kuwaogopesha wale wapendwa wangu
Maajabu haya ya nywele! Usipeleke mawazo yako kwenye yale majina yake kwamba zote ni nywele lakini zinatofautiana majina kutokana na mahali zilipo(ota)
Maajabu ya nywele ninayotaka kuzungumzia ni haya
-akili hulinganishwa na nywele kwenye muktadha wa methali za kiswahili
-nywele hutumika kama malighafi bora kabisa kwenye ulimwengu wa giza
-nywele huendelea kuota kwa muda fulani hata baada ya mwili kufa
-nywele hubaki bila kuharibika hata baada ya mwili kuoza kabisa
-rohochafu mapepo hata baadhi ya majini hupenda kukaa kwenye nywele ndio maana baadhi ya vichaa wakinyolewa tu hupata nafuu
Kwa akina dada zangu unapovaa wigi halisi la nywele za mtu unabeba usisoyajua hasa kama mwenyewe keshatangulia kaburini
 
Usipime aiseee
 
Hahaha brother mshana naona wanaume wamekutuma uje uzungumzie kuhusu nywele maana siku hizi wasichana wengi wa mjini akikupata tu anataka na indian /brazilian hair hapo hapo.
Mimi nikikutana nao nakuwa kama huyo mwana kwenye avatar yako

Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom