REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,880
Maofisa wa ngazi ya Juu kutoka Kampuni ya mafuta TOTAL wametembelea Bandari ya Dar es Salaam kuangalia miundombinu ya Bandari hasa hali ya njia za reli TRC na maeneo ya kuhudumia meli. TOTAL itatumia Bandari ya Dar kuingiza vifaa vya mradi wa bomba la mafuta wa Tanzania -Uganda.