Sir Khan
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 5,781
- 11,658
Sidhani kama kuna mtu timamu humu ndani hajui faida za huo mradi.Badala ya kusema viva jpm ungeeleza faida za hilo bomba kupita nchini hapo utaanza tupiana maneno na waupande wapili, mara nyingi tujikite kwenye hoja mkuu itasaidia kuleta uwelewesho kwa wengine, kunasiku mtu mmoja alileta mjadala hapa kwamba huo mradi umeyeyuka nilipo mjibu alielewa na tukawa sawa,soma niliandika nini mara ya kwanza hapo juu kuna mabo mengi sana ktk huu mradi sio lele mama ni mradi amabao unachangamoto nyingi sana ktk utekelezaji wake sasa niwangapi wanajua hilo?
Narudia tena,VIVA JPM govt.
Atakayeanza vijembe atajijua mwenyewe.