Maafisa Idara za elimu anapostaafu Kiinua mgongo ni Wastani wa Tsh ngapi kwenye TGTS H au I?

amarina

Senior Member
Joined
Jan 5, 2025
Posts
181
Reaction score
290
Igweeee!

wanajukwaa wkwa wenye experience na kiinua mgongo katika sekta tajwa anabeba ngapi??

Na je kila mwezi wanapokea Pesa sijui inaitwa pension? kitu kama hicho. Je ni bei gani.

kwa wajuzi tu, kama hujui comment fupi fupi
 
200,000,000/=
 
Hakuna cha uafisa,sasa daraja H nalo ni la mtu kujiita Afisa wakati!? Wakati mtu huyo ni diploma holder ndo maana kashindwa kufikisha daraja I
 
hapana mkuu pitia mafaili yako vizur. Huyo wa juu sana tena karibia kistaafu. Salary yao ni 2 milion kwenda juu
1000307309.jpg

kwa sheria za Tanzania afisa ni mhitimu katika level ya elimu ya juu na muajiriwa serikalini
 
Inategemea na idadi ya miezi aliyohudumu ktk utumishi wake wa umma,kama ni mingi atapata

Ndio hadi atakapoiaga dunia

Kwa kikokoroo cha sasa?
hiyo 200 milioni anapewa mkononi?
 
hapana mkuu pitia mafaili yako vizur. Huyo wa juu sana tena karibia kistaafu. Salary yao ni 2 milion kwenda juu
View attachment 3555264

kwa sheria za Tanzania afisa ni mhitimu katika level ya elimu ya juu na muajiriwa serikalini
kweli kabisa kabla sijahama sekta ya elimu tuliajiriwa kama maafisa wasaidizi cheo cha chini kabisa tena tukiwa na diploma.

Tofauti ikiwa daraja A B C na kuendelea.

miaka ya baadae wakaja wajuaji kutoka elimu ya msingi kwenye hiyo sekta wakaona watakuajenna cheo kinacho fanana fanana na mtu mdogo kama mwl wa hesabu? wakapindua meza
 
Kwa Sasa kikokotoo kimeua ndoto za wafanyakazi(watumishi).
Sasa hakuna mtumishi atapata zaidi ya 50,000,000.
Kanuni inayo tumika hapa ni
1/3×(pension Yako).yaani Kama ulitakiwa upewe pension 100,000,000 utapata 33,333,333 tuu.
Kwa ujumla serikalini hakuna pesa.🤣🤣🤣🤣🎶🎵🎶🎵🎶
 
Back
Top Bottom