Maafande Taratibu Jamani

Enheeee sasa hiki ndio Kiribatumbo..
 
Utakamatwa weweeeee ohooo

Sidhani kama kumshauri mtu ni kumtusi coz hawa ni usalama wa raia kiongozi na wala sio maadui wa raia ni rafiki zetu hawa mkuu.

Kwa hiyo si vibaya kuwapa rai ya kutumia neema ya chakula kwa kiasi kutokana na nature ya kazi yao kiongozi.

Ahsante Sana.
 
Ndio maana sionagi umuhimu wa jkt

Inawezekana ikawa na umuhimu wake kiongozi coz hii inawezekana baada ya kupata nafasi msosi ukazidi ndio likapatikana hilo umbo mkuu.

Ni Hatari Sana.
 
Inawezekana ikawa na umuhimu wake kiongozi coz hii inawezekana baada ya kupata nafasi msosi ukazidi ndio likapatikana hilo umbo mkuu.

Ni Hatari Sana.
Haina umuhimu wowote, life style ndio itafanya uwe mkakamavu au usiwe.. Huyo hana tofauti na mtu ambae hajawahi gusa kambi
 
Kitambi kinafyonza Mbomboo apo Kibamia ni compulsory
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…