Maafa makubwa Gymkhana Club

alinifundisha st 120 huyu babu,
tambo nyingi sana za kihaya,
but he was one of the most distinguished profs i have seen to-date
..mola ampumzishe pema..Amen.
 
There must be a cause in order to die!
Mungu ailaze mahali pema roho ya Marehemu!
Amen!
 
RIP Prof. Kamuzora.

We hope we will receive more details, especially on the conditions of the other people who were injured. Our prayers are with the family of Prof, Kamuzora during this difficult time.

Taa zenu ziwe na mafuta kama za wale wanawali wajanja
 
Ama kweli mafisadi watakoma mwaka huu. Hadi vimbunga vinawafuata huko huko Gymkhana Club kuwamaliza?

Suck ya words you f*cker! Humjui aliyefariki coz hauko updated na nchi yako, na pengine hujapita skuli. Kama huna uhakika usidandie mada bila kusoma vizuri..
 
dah,prof kamuzora mungu amrehemu,ntamkumbuka kwa kunifundisha computer,kwa waliopita udsm alifundisha AS 217,ndo head of dpartment wa STATISTICS,

Mimi pia alinifundisha kozi ya Demograph nimeshasahau haa Code # yake imekuwa miaka mingi sasa.
 
Majeruhi walionusurika katika ajali hiyo yupo Prof. Mohabe Nyirabu ambaye aliumia mguu na kukimbizwa katika hospitali ya Agakhan kwa matibabu.
 
RIP.

Taifa linazidi kupoteza wananchi wake kwa kasi sana tena katika mazingira ya ajabu ajabu.

Viongozi wa dini na madhehebu mbalimbali andaeni maombi ya pamoja kwa mwenyezi Mungu. Nchi imekosa neema ya Mungu hii. Acheni kutekwa na wanasiasa ambao wanawapoteza na kushindwa kukemea maovu na dhuluma nchini
 
Back
Top Bottom