nadhani ni wa udsm,bt huwa anafundisha na mambo ya demography,may b na huko mzumbe hujaJamani ni Kamuzora wa Mzumbe au?
nadhani ni wa udsm,bt huwa anafundisha na mambo ya demography,may b na huko mzumbe hujaJamani ni Kamuzora wa Mzumbe au?
Jamani ni Kamuzora wa Mzumbe au?
he he he hii balaa tea, pole sana kwa familia. kweli upepo ulikuwa mkali sana mpaka ukakata umeme. nafikiri watu wengi waliokuwa barabarani wanaweza kuwa wameumia ngoja tuangalie taarifa ya habari leo
umeambiwa wa udsm,we unaropoka wa mzumbe,soma thread ya awali