Magda pius
New Member
- Dec 1, 2011
- 4
- 2
Maadili yetu yanaelekea wapi? Tuna pata wapi huu ujasiri? Leo hii ni aibu binti kuwa na Bikira hivyo inabaki kuwa siri yake Na ikiwa binti akiwa Bikira basi ataandamwa na maneno ya kejeli na ya silolote si chochote kwa nini Wengi huigiza hawathamini Bikira ni uongo na unafiki uliojawa na Sina uvumilivu kama si Sikujua Siku zote mti uzaao matunda hupigwa mawe"Ulishindwa au hukutaka kuwa Bikira basi acha fitna kwa wenye nazo,kuwa na umuhimu au la ni juu yao au unadhani waweza kuwa na ushawishi wa kuzivunja kuliko aliyeng'ang'ania apewe penzi? Kila mtu ana malengo yake kama ulitolewa Bikira mapema,hukuoa bikra basi waache waonao fahari yake,hayo ya tigo na mchina ina huu!! HESHIMA YANGU KWA MABIKRA,IKIWA NI SIKU CHACHE BAADA YA KUSHEHEREKEA SIKU AMBAYO BIKIRA MARIA ALIJIFUNGUA MTOTO YESU, Happy new year!!!!!