donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Mbona sijaona uchi wowote pale
dada Heaven on Earth za ma siku, kwema? msalmie Karucee mwambie huku am on daily basis ya my meditation. ooh, and if God Wishes on 12th i'l b swearing!
Aiiiii nilijua nitakuta uchiii hapo kumbe hanna kitu
Kweli kabisa vazi kama hili ni sio la kuvaa kwenye tv. Kwa maadili ya tzView attachment 181607
Ahsante kwa picha. Uchi ni upi sasa hapa?
Ha ha ha
Labda uchi wa matiti. ......
Kweli kabisa vazi kama hili ni sio la kuvaa kwenye tv. Kwa maadili ya tzView attachment 181607
Wakuu angalieni ITV sasa hivi kama kawaida yao.
Yaani wao wakilipwa wanafanya lolote,Lulu Live kwenye Kipindi cha kuchagua mshindi.
Sasa nashangaa,hii Sanaa badala ya kuzingatia maadili ndio kwanza inapoteza maadili,na mle kuna mtoto wa under 14.
Yaani nilikuwa naangalia na shemeji zangu nimahamia chumbani.
Hii kazi kweli.
kuna watu wanamchukiaga tu huyu dogo...
kuna watu wanamchukiaga tu huyu dogo...
Ni vinyonyo tuu ndio kaachia kwambaaaaali!
Wakuu angalieni ITV sasa hivi kama kawaida yao.
Yaani wao wakilipwa wanafanya lolote,Lulu Live kwenye Kipindi cha kuchagua mshindi.
Sasa nashangaa,hii Sanaa badala ya kuzingatia maadili ndio kwanza inapoteza maadili,na mle kuna mtoto wa under 14.
Yaani nilikuwa naangalia na shemeji zangu nimahamia chumbani.
Hii kazi kweli.
"ndala"
Lulu anachukiwa na wengi kwa matendo yake ambayo si ya kawaida kwa mtoto wa umri wake. Ufuska wa kutembea na kina Komba wa kwaya, ritz 1, waarabu na pia ujasiri wake wa mambo magumu isivyo kawaida. Ni kweli lulu siyo wa kawaida. Lakini alaumiwe pale anapokuwa kaharibu na bila kuwaacha waharibifu wenzie kama hlo ji babu komba la ccm.
Kumtukana kila wakati hata pale hajakosea, inamfanya awe sugu kwa kujua hata asipokosea yeye hutukanwa tu kwa sababu ni Eliza. Hata siku amekosea ukamwonya, hawezi kujua ni wakati upi anasemwa kwa makosa na wakati gani ni kwa hobby ya watukanaji.