• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Maadhimisho ya Smart Phones next Saturday

yello masai

yello masai

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2016
Messages
2,496
Points
2,000
yello masai

yello masai

JF-Expert Member
Joined Jan 8, 2016
2,496 2,000
Kuna mahadhimisho ya smartphone jumamosi ijayo

Techno-Mtakutana viwanja vya Jangwani

Huawei - Viwanja vya Mnazi mmoja

Nokia-Viwanja vya Biafraa

Samsung - Ukumbi wa Lamada hotel

Blackberry -Viwanja vya leaders club

HTC-Viwanja vya Karimjee

Sony-Serena Hotel

Lenovo- holyday in

LG-Golden Tuliph

Iphone - Kilimanjaro Hotel

Je wewe utakuwa wapi?
 
Bonny

Bonny

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Messages
12,898
Points
2,000
Bonny

Bonny

JF-Expert Member
Joined Feb 21, 2013
12,898 2,000
Viwanja vya tandale kwa tumbo
 
GREGO

GREGO

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Messages
4,156
Points
2,000
GREGO

GREGO

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2014
4,156 2,000
Na wenye sim za kampuni mbili tofauti watajigawaje?
 
Donnie Charlie

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2009
Messages
8,714
Points
2,000
Donnie Charlie

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2009
8,714 2,000
Motorola tumekosa haya maadhimisho.
 
cmp

cmp

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
3,360
Points
2,000
cmp

cmp

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
3,360 2,000
Mi ninazo blackberry,sony na tecno sasa sijui nastahili kwenda wapi.
 
Uzalendo Installer

Uzalendo Installer

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2014
Messages
2,528
Points
2,000
Uzalendo Installer

Uzalendo Installer

JF-Expert Member
Joined Nov 8, 2014
2,528 2,000
Kama haupo apo mkutane tcra au simu 2000
 

Forum statistics

Threads 1,402,619
Members 530,949
Posts 34,400,485
Top