Maadhimisho ya Smartphones Dsm.

Dengue

JF-Expert Member
Dec 4, 2012
2,036
1,424
Kuna maadhimisho ya smartphone jumamosi ijayo ktk maeneo yafuatayo kulingana na simu husika.

Techno-Mtakutana viwanja vya Jangwani.

Huawei - Viwanja vya Mnazi mmoja.

Nokia-Viwanja vya Biafraa.

Samsung - Ukumbi wa Diamond Jubilee.

Blackberry -Viwanja vya leaders club.

HTC-Viwanja vya Karimjee.

Sony-Serena Hotel.

LG-Golden Tulip.

Iphone - Kilimanjaro Hotel....

Je wewe utakuwa wapi rafiki yangu????
 
Haya mambo ya ki-fb peleka kwa watoto huko,huku kwa wanaojielewa

Wewe ndio hujielewi.
Unadhani maisha muda wote unatakiwa uwe siriasi? Halafu kabla ya kuongea uwe unaangalia kidogo unajishushia heshma yako.
Angalia vizuri hii mada iko jukwaa gani?
 
Back
Top Bottom