Maadhimisho ya miezi mitano toka nile BAN

Maadhimisho ya miezi mitano toka nile BAN

mi nilipigwa ban za kutosha....kisa kumjibu mtu m1 alyetoa comment ya kuuponda ukristo......nikachezea ban ya mwezi mmoja......alaf baada ya siku chache nikachezea ban ya miezi miwili nilipojaribu kuwaomba wanaJF kama kuna atakayeweza kunipa link ya sehem nayoweza kupata article yoyote inayoelezea fujo zinazofanywa na wakristo popote duniani...mana kila ninapogugo zinakuja za fujo za waislam.....basi hapo nikachezea ban ya miezi miwili...wakati mimi niliomba tu link ya article ili nikamilishe makala niliyokuwa naandika......:yo::yo::yo: hecko kwa mods.....i hop sintopigwa ban kwa hii comment yangu......
 
Hongera zao wote ambao ni mabikira wa ban!
Mie sina ya kwangu ilishatobolewa! Walinitoboaje!
 
yangu ya dakika 5 tu wapi Filipo nahisi nimeweka rekodi humu anayebisha aseme
 
Last edited by a moderator:
Nilipata ban toka kule jukwaa la stress nlim2kana ana makinda nlimwita makinda ya ndege! Hehe!
 
BAN yangu nina uhakika nitaipata 2014 wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa. Sitoweza kuvumilia ninayovumilia sasa hasa kwenye jukwaa la siasa. Tangu nianze kusoma jukwaa hilo, nasumbuliwa na vidonda vya tumbo.

Pole sana...

Mimi naadhimisha siku Saba toka nipigwe ban...Na sijui kama nitamaliza huu Mwezi wa nne unao anza..
 
Back
Top Bottom