Mimi ndugu yenu Phd, leo machi 28, 2013 naadhimisha miezi mitano toka nipigwe ban ya wiki mbili mnamo 28 oktoba 2012 hapa JF. Sababu ya BAN ilikuwa kuleta habari ambazo ziliwachukiza wakubwa.
Nimeweka thread hii hapa ili kila mmoja kama ana kumbu kumbu na BAN yake aiseme na sababu ya BAN hiyo.
wasalaam.
Phd
Nimeweka thread hii hapa ili kila mmoja kama ana kumbu kumbu na BAN yake aiseme na sababu ya BAN hiyo.
wasalaam.
Phd