Maadhimisho ya miaka 35 ya CCM live Star tv

Maadhimisho ya miaka 35 ya CCM live Star tv

sasa ndio najua tatizo letu watanzania ni CCM, ebu fanyeni hesabu, chama kilizaliwa 5/2/1977 leo tare 5/2/2012 ni miaka mingapi? mimi kwa kesabu zangu hii ni miaka 34! sasa wenzetuuu hiiii 35 yatoka wapi????

rudia tena hesabu zako:
 
jamani mnakumbukumbu jamaa keshaanguka mara 2 kirumba,sasa leo jiandaeni tena

asianguke tena wakuu, huyu kaw sasa ni muhimu kwa katiba mpya, ameshajipanga na kuingia anag za CDM, tumpe sapoti hata akianguka.
 
Leo hataanguka bali ataelekea K.U.Z.I.M.U! na chama chake.
 
Pamoja na ukata mkali lakini bado kuna "nyomi" CCM .Hapa kweli Dr. Bana anasema magamba hawana mbadala.

download+(40).jpg




download+(41).jpg

Hi picha ya sio ya leo! Pili umati huu huwa unafuata vitu viwili. Moja ni wasanii wanaoletwa na ccm ktk mikutano na mikusanyiko yao. Pili wanafuata chakula/hela ambazo zinatolewa ilihali wananchi wanakosa huduma za muhimu kama afya elimu etc. Mtalaaniwa wooote mnaohusika na upuuzi huu.
 
amri kimeo ! amri jeshi manyoya ! amri jeshi mteke.
 
Back
Top Bottom